Kuna ka ukweli kabisa, kwa miaka mingi leo nimemuona hubby kafurahi!!!
Halafu mbaya zaidi ni shabiki wa Yanga...natamanigi kumwambia aache kushabikia hayo matimu maana namuona anateseka, lakin najua hawezi kunisikiliza...naishia kumsapoti tuu!!
Mimi na Arsenal kwakweli ni damdam
Sinywi pombe
Sivuti sigara
Sio mtu wa dance
Just soccer, office..... hata nifungwe vipi.
At home she gets all the best out of it.
Very amazing.