Koku, Koku mdogo wangu....usijiapize mbele ya mbingu na nchi tena kwa maneno mazito mazito kama hayo......
Kwetu sie wenye uzoefu, tunajua kuwa karibia kila mwanamke akito labour room huapa kwamba hatarudia tena kitu hicho......Je huwa wanaacha kweli???......
Naona unahitaji canselling kwa sababu hayo yaliyokutoa hayawezi kufanga chapters zote za kitabu chako.....Haiwezekani kabisa...Msahau huyo na kumwona hana maana ili uwape nafasi wenye maana...But play safely!!
Hapa sasa umeongea kama mama, tena jimama la ukweli.....Usisahau kuhakikisha Tuli anapata hii dozi!!
Vinauma saaana. All in all nimewaelewa i will try my level best to empty my brain na content zote zimuhusuzo. So that i can start a fresh.
Najipa muda kuheal my broken heart na pengine kujipanga upya. Sitaki kuingia ktk mahusia no mapya ghafla ghafla, nina woga bado. Ushauri wenu nimeupokea i will work on it.
God is great, he will give mwenye maana kwa wakati wake.
Unajua sisi wakina dada tukipenda tunapenda kweli, na huwa tunamaanisha, most of us. Mars nyingi mapenzi yetu kwe wenzi wetu yanakuwaga ya kweli na si unafiki. Hujitoa kwa moyo na kutoa mapenzi ya kweli na si ya kuigiza. Na wengi wafanyao hivyo huishia kutendwa.
Hata hvyo thread imenipa somo, men are hunters, wakipata mnyama wakishamega wakla na kumaliza utamu woote, wanahamia pori lingine. I seeeeeeeeeee