good question.Nnachojua mimi mnalalana kwanza mengine baadae,au vipi mamaT?
bado uko G n Dragon,ngoja nije tuongelee suala hili tuwekane sana,ni kulana tu,no strings attached,achana na kina Husn wataka ndoa.Ongea vizuri,inawezekana ni mm mwenyewe.....mambo ya kubanana yanachoshaaaa lol
Koku ningekusimulia mazanga ambayo nimefanyiwa na wanawake duniani humu wala usingesema haya,we shukuru Mungu uko hai,HIV negative,songa mbele na maisha yako.Weee D. Wewe acha tu. People knows to pretend bwana na kuhide their true colours.
Ningeweza kukupa full story may be ungenielewa. But let us leave PIE as PIE.
But in reality wanaume mnatuumiza sana kimapenzi
mwendo mdundo Mkuu DC,ndo matunda ya utandawazi.Kweli Bishanga...
Yaani siku hizi kuna wengine wanakula tunda hata kabla ya kumwagiana sera....Yaani hii fast track itatuletea Tsunami ya hatari!!
Koku ningekusimulia mazanga ambayo nimefanyiwa na wanawake duniani humu wala usingesema haya,we shukuru Mungu uko hai,HIV negative,songa mbele na maisha yako.
mwendo mdundo Mkuu DC,ndo matunda ya utandawazi.
Yani nimechoka, kila penye story ya mapenzi hapakosekani mwanamke anayelalamika kutendwa na mwanaume.....why?? mbona wanaume wanakuwa watu wa ajabu hivi siku hizi?
Lingine, kumpata mwaname au mwanammke mwenye kufanya yale yooote yauridhishayo moyo wako au yanayotakiwa ni vigumu kwani hakuna malaika.......mwingine kwenye communication yuko vizuri lakini kwenye idara ya matunzo yuko weak, mwingine anajua mambo flani lakin upande mwingine ni mkoko hata ch....pi hawez nunua......
Ndo maana nimeamua rasmi kuwa na kidumu ili hata la kutokea likitokea nisiumie sana nipozwe na kidumu mie.........nimekoma kuumwaga moyo wangu wote kwenye mawe uungue jua (kwa mtu ambae hatauthamini)!! Kidumu lazima niwe nacho.....
Unadhani hiyo solution itadumu kwa miezi au miaka mingapi???
Babu DC!!
Koku mdogo wangu tema mate chini na umwambie Mungu wako ni hasira ndio imekupelekea kutoa maneno yote ya hasira ila kikubwa ni kuwa unamuachia yeye Muumba akupatie yule anaestahili penzi lako na wewe ukalifaidi penzi lake. Hicho kidudu mtu kimoja kisikufanye ukose kuona raha ya mapenzi banaaa.....wakati ww unaongea haya mwenzio anachekelea kuwa amekuweza!hapana kumpa hilo bichwa aiseee ntakuchapa!
Unajua Dark, kama kitu kimeandikwa kimeandikwa tu, so katika vidumu vitatu ntakavyokuwa navyo sidhani kama atakosekana mmoja atakaekuwa ananipenda kwa dhati na kuwa na future na mimi.
kama ambavyo men wanacheat na kuwa na vidumu vitatu au zaidi mheshimiwa Dark huoni kwamba sasa ni wakati muafaka kwa wanawake nao kuwa na mfumo huo huo wa kuwa na madumu au ndoo pembeni ili ikitokea ndoo au dumu moja linatoboka zilizobaki ziendelee kutumika?
Mama mkaliii isee.
Haya nimepokea ushauri wako, ila sasa moyo wangu ndo ushakufa ganzi tenaa, kiasi siamini km kuna mwanamume mkweli.
Eee MUNGU nisaidie. Usinicahpe mamaaa, nimekuelewa. Ngoja nijipe mda kwanza
Niaje jombaaa? Usichakachue sredi bana
Mapenzi hayana formular hata kidogo, na ndoa ni maajaliwa, waweza pigiwa simu hata mara 30 kwa siku, waweza tambulishwa hadi kwa bosi wake, waweza hudumiwa sijui kama nini vile lakini mwisho wa siku kutendwa kunatokea.....so mama huu msaafu uliouweka hapa sidhani kama ni universal principles
Husninyo! Hivi wewe na TF mna nini? Kila dk5 mpaka umtaje? Au kakwendea kwa kalumanzila?hujui ana wengi?
Umenena vyema ila sasa....hilo jina lako ilo....:A S-coffee:
Mbona unaanza kumchokoza mdogo wako????
Ujue keshasema kuwa hatakaa adanganyike tena????
Babu DC!!
Koku, Koku mdogo wangu....usijiapize mbele ya mbingu na nchi tena kwa maneno mazito mazito kama hayo......
Kwetu sie wenye uzoefu, tunajua kuwa karibia kila mwanamke akito labour room huapa kwamba hatarudia tena kitu hicho......Je huwa wanaacha kweli???......
Naona unahitaji canselling kwa sababu hayo yaliyokutoa hayawezi kufanga chapters zote za kitabu chako.....Haiwezekani kabisa...Msahau huyo na kumwona hana maana ili uwape nafasi wenye maana...But play safely!!
Hapa sasa umeongea kama mama, tena jimama la ukweli.....Usisahau kuhakikisha Tuli anapata hii dozi!!
Vinauma saaana. All in all nimewaelewa i will try my level best to empty my brain na content zote zimuhusuzo. So that i can start a fresh.
Najipa muda kuheal my broken heart na pengine kujipanga upya. Sitaki kuingia ktk mahusia no mapya ghafla ghafla, nina woga bado. Ushauri wenu nimeupokea i will work on it.
God is great, he will give mwenye maana kwa wakati wake.
Unajua sisi wakina dada tukipenda tunapenda kweli, na huwa tunamaanisha, most of us. Mars nyingi mapenzi yetu kwe wenzi wetu yanakuwaga ya kweli na si unafiki. Hujitoa kwa moyo na kutoa mapenzi ya kweli na si ya kuigiza. Na wengi wafanyao hivyo huishia kutendwa.
Hata hvyo thread imenipa somo, men are hunters, wakipata mnyama wakishamega wakla na kumaliza utamu woote, wanahamia pori lingine. I seeeeeeeeeee
Jamani Kaizer jina langu limefanyeje tena...... (hili jina alinipatia mama yangu na kuniambiaa nisiongeze chochote mwilini mwangu coz me ni mrembo tu kwa asili (sory kwa kuwa off point))
Koku, Koku mdogo wangu....usijiapize mbele ya mbingu na nchi tena kwa maneno mazito mazito kama hayo......
Kwetu sie wenye uzoefu, tunajua kuwa karibia kila mwanamke akito labour room huapa kwamba hatarudia tena kitu hicho......Je huwa wanaacha kweli???......
Naona unahitaji canselling kwa sababu hayo yaliyokutoa hayawezi kufanga chapters zote za kitabu chako.....Haiwezekani kabisa...Msahau huyo na kumwona hana maana ili uwape nafasi wenye maana...But play safely!!
Hapa sasa umeongea kama mama, tena jimama la ukweli.....Usisahau kuhakikisha Tuli anapata hii dozi!!
Vinauma saaana. All in all nimewaelewa i will try my level best to empty my brain na content zote zimuhusuzo. So that i can start a fresh.
Najipa muda kuheal my broken heart na pengine kujipanga upya. Sitaki kuingia ktk mahusia no mapya ghafla ghafla, nina woga bado. Ushauri wenu nimeupokea i will work on it.
God is great, he will give mwenye maana kwa wakati wake.
Unajua sisi wakina dada tukipenda tunapenda kweli, na huwa tunamaanisha, most of us. Mars nyingi mapenzi yetu kwe wenzi wetu yanakuwaga ya kweli na si unafiki. Hujitoa kwa moyo na kutoa mapenzi ya kweli na si ya kuigiza. Na wengi wafanyao hivyo huishia kutendwa.
Hata hvyo thread imenipa somo, men are hunters, wakipata mnyama wakishamega wakla na kumaliza utamu woote, wanahamia pori lingine. I seeeeeeeeeee
hongera kwa kulielewa hilo......ila kumbuka akienda pori jingine atakuwa anawinda wanyama wale wale anaowapenda