Inawezekana Bishanga,kama tu ndo yalikuwa makubaliaano ya mwanzo wa uhusiano
i fully support you,ndo maana nime apply rasmi kuwa ka ndoo kako numero 4!
Nitakuweka kwenye waiting list Bishanga, kimoja kikileta shida uta take over
ndo niko naye tunapita hapa,mambo Asha?Husny ukipita hapa nakusalimu dear....
ndo niko naye tunapita hapa,mambo Asha?
vp mkuu umeshasahau sread ya waraka wako kwa mwanao? au ndo mambo ya jana siyo leo?babu bana,na we unazeeka vibaya sasa,yaani ukakaacha hivi hivi? Mi huwa sibakishi kitu,nakula mpaka ukoko,you live only once Mkuu.
hebu niunganishe na mimi hapo ,mwngn akizingua unitengee na mm.Nitakuweka kwenye waiting list Bishanga, kimoja kikileta shida uta take over
Husn kaachana na mwandani wake bana,ulikuwa hujui?Salama kabisa B' Weekend iko mwake... Hongera msalimu saana
(naona umeamua umsindikize akiwa na mpenzi wake).
Wangu nae akusalimu hapa....lol...:eyebrows:
vp mkuu umeshasahau sread ya waraka wako kwa mwanao? au ndo mambo ya jana siyo leo?
hebu niunganishe na mimi hapo ,mwngn akizingua unitengee na mm.
hahahahahaha! natumaini TF ameona hii.hahahahaaaa mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio bana!
hapana mkuu wangu kwenye hizi anga ,yeye mwnyw kasema watatu.....akizingua mwngne baada ya ww ndo anishushe mimi hapo.arrrrrooo unaingia anga zangu?
hapana mkuu wangu kwenye hizi anga ,yeye mwnyw kasema watatu.....akizingua mwngne baada ya ww ndo anishushe mimi hapo.
mm mwnyw hawa wa no string attached ndo type zangu mkuu.
babu bana,na we unazeeka vibaya sasa,yaani ukakaacha hivi hivi? Mi huwa sibakishi kitu,nakula mpaka ukoko,you live only once Mkuu.
umechelewa Mkuu,nshayaona,hivi naanza kumpigia mahesabu!Hana gharama huyu,sio kama kina SL kila siku hela ya saluni,nshachoka naye mie.
Nitakuweka kwenye waiting list Bishanga, kimoja kikileta shida uta take over
Utakuwa kwenye waiting list, incase mmoja akidrop then utaziba pengo, ila Bishanga amekutangulia. principle ya hapa ni first come first saved!
Babu DC nae kaenda wapi mpaka thread imechakachuliwa hivi! Hata sijui niliishia wapi.
Hivi babu (yule wa kwa obama sio yule wa kijiji cha mwendakulima..lol) unaposema tupende kidogo kidogo au robo robo unakuwa unamaanisha ni vipi au kwa jinsi gani? Samahani lkn
Usipime kina cha maji ya mto kwa miguu yote miwili:A S-coffee: