Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

ndo niko naye tunapita hapa,mambo Asha?

Salama kabisa B' Weekend iko mwake... Hongera msalimu saana
(naona umeamua umsindikize akiwa na mpenzi wake).
Wangu nae akusalimu hapa....lol...:eyebrows:
 
babu bana,na we unazeeka vibaya sasa,yaani ukakaacha hivi hivi? Mi huwa sibakishi kitu,nakula mpaka ukoko,you live only once Mkuu.
vp mkuu umeshasahau sread ya waraka wako kwa mwanao? au ndo mambo ya jana siyo leo?
 
Salama kabisa B' Weekend iko mwake... Hongera msalimu saana
(naona umeamua umsindikize akiwa na mpenzi wake).
Wangu nae akusalimu hapa....lol...:eyebrows:
Husn kaachana na mwandani wake bana,ulikuwa hujui?
 
arrrrrooo unaingia anga zangu?
hapana mkuu wangu kwenye hizi anga ,yeye mwnyw kasema watatu.....akizingua mwngne baada ya ww ndo anishushe mimi hapo.
mm mwnyw hawa wa no string attached ndo type zangu mkuu.
 
hapana mkuu wangu kwenye hizi anga ,yeye mwnyw kasema watatu.....akizingua mwngne baada ya ww ndo anishushe mimi hapo.
mm mwnyw hawa wa no string attached ndo type zangu mkuu.

Utakuwa kwenye waiting list, incase mmoja akidrop then utaziba pengo, ila Bishanga amekutangulia. principle ya hapa ni first come first saved!
 
babu bana,na we unazeeka vibaya sasa,yaani ukakaacha hivi hivi? Mi huwa sibakishi kitu,nakula mpaka ukoko,you live only once Mkuu.

Bishanga wewe,

Utawezaje kula njugu bila meno??? Sie tulicheza sana enzi zetu, kwa sasa ikipigwa ile miziki mitamu mitamu twafanya kutikisa tikisa mabega tu...!!

umechelewa Mkuu,nshayaona,hivi naanza kumpigia mahesabu!Hana gharama huyu,sio kama kina SL kila siku hela ya saluni,nshachoka naye mie.

Nilijua tu,

Yaani huyu Mrembo.... sijui kwa nini anafanya technical blunder kama hiyo...ni sawa na kuacha pochi yake iliyonona Kariakoo sokoni...Atabakiza kitu kweli???

Sijui kama kuna jinsi ya kumsaidia!!

Nitakuweka kwenye waiting list Bishanga, kimoja kikileta shida uta take over

Ukimpa chance ya namna hiyo mwanaume...ni sawa na ushindi wa Man U Vs The Gunners au Man City Vs Man U....Unaukumbuka???
 
Babu DC nae kaenda wapi mpaka thread imechakachuliwa hivi! Hata sijui niliishia wapi.
 
Utakuwa kwenye waiting list, incase mmoja akidrop then utaziba pengo, ila Bishanga amekutangulia. principle ya hapa ni first come first saved!

Wewe Kajukuu,

Hakuna kitu kama hicho...Hata ukuwaleza vipi kwamba wewe Bishanga Bashaija ni No.5 kwenye list yako...Ila yeye kichwani anajua kuwa lazima ndo No1!!

Nakushauri hiyo list uache kichwani kwa sababu hata ungefanya nini, hakuna mwanamume atakubali nafasi uliyompa...Akili ibaki kichwani mwako, kuwapanga upendavyo....kama ambavyo wewe mwenyewe uliwahi kufanyiwa!!!
 
Hivi babu (yule wa kwa obama sio yule wa kijiji cha mwendakulima..lol) unaposema tupende kidogo kidogo au robo robo unakuwa unamaanisha ni vipi au kwa jinsi gani? Samahani lkn

Kbd,

Mama yeyote mwenye busara hata itokee nini, atapakua na kuwabakizia watoto....Hawezi kupakua akaacha patupu...

Labda kama nyie wa dot com hamlijui hili

Usipime kina cha maji ya mto kwa miguu yote miwili:A S-coffee:

Hapo sasa,

Yaani kuanzia day zero unatoa 100%, baada ya mwaka mmoja hazina si itakuwa imekauka....????

Sijui hawajukuu tuwafanye nini...khhhhhaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Babu DC!!!
 
Back
Top Bottom