I am too busy" hilo ndo jibu langu kubwa kwa wadada nisiowapenda,, sometimes tuna approach girls just for fun kufanya mazoezi ya kumwaga sera za kumtafutia wife siku tutapokutana, na nachoshangaa hawa wa for fun hawataki kuelewa hata ukiwaambia upo busy vipi wana wewe simu hadi usiku wa manane, sijui ni (kamkweche) kagari kangu haka kipya cha mkopo nilichonunua juzi au mitumba nayovaa he he he,,
wadada sometimes sio vizuri ku force relationship kama mtu anakupenda utajua tu maana wasichana mna nguvu zaidi ya sisi hasa ukiwa right woman for him, yaani utaona hata huruma kwa mwanaume jinsi atavyohakikisha unakuwa na furaha mda wote hata kama hana uwezo but ukiwa wa kupita tarajia am too busy nyingi, text kutojibiwa ukija ofisin anaambiwa receptionist akujibu nipo kwenye kikao na mengineyo mengi ya kukunyima furaha