Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Kujibu swali lako hapo mwisho kuwa tunapo-date wasichana tusio na mpango nao...........mimi binafsi huwa nawaeleza ukweli kuwa sina mpango wa kuoa, lakini namtreat kama ambavyo ningemtreat mtarajiwa wangu

oooh! Kwahyo ukifika muda wa kuoa unabwaga huyo unatafta pengine?
 
ahsante kwa kuwa muwazi.
 
Hivi kwa nini kichwa cha mada kipo kwenye lugha ya Kingredha halafu mwili wa mada upo kwa Kiswahili?
 
Na mimi nimeona nisipitwe, mbona mnakuwa wabaguzi hivi..................LOL

nilijua lazima mtachungulia ndo maana na nyie nimewaekea swali lenu. Haya toa maoni.
 
Husninyo,sijaona mahali umezungumzia kwa siye wenye nyumba ndogo, au tunakuwa covered na ile katiba yetu?:shock::A S embarassed::A S-coffee:

una matatizo ya macho? Nimezungumzia wadada waliopo kwenye mahusiano na wanaume waliooa.
 
Yaani mimi nimetoa mfano wa mawasiliano (maongezi) nyinyi mumeibadilisha to vocha. Khaaa!
Mimi bana nasema mtu unaweza ukawa boring katika maongezi na ndio ikawa sababu ya mawasiliano duni na mwenza wako (hata kama vocha anakununulia). Kuna mdada nilisoma nae kidato, huyo mdada alikuwa yeye akikaa anasifia kula tu mpaka inaboa, sasa kuna siku akajileta kwangu eti kanimaindi hehehe nilihama shule
 
nimeongelea sisi wanawake ambao tumeshapenda lakini upande wa pili unaonekana kama una wasiwasi. Kama ungekuwa mwanamke ungeweza kuendelea na mahusiano katika hali kama hizo? Nini hatma ya mahusiano hayo?
 
Spot on... infact kwa mke chake chake na cha mume chake ndio wanaume wa ukweli wanautekeleza. Serious ly, mwanaume bora ni yule anayenunulia mkewe vocha hata kama mke hampigii simu. Anayebeep apigiwe au hadi awe beeped ndio apige sio mwanaume.
Kweli kabisa FA.... Mume/Mwanaume bora ni yule asiyesubiri kuombwa...unajua mpenzi wako ana simu why usimtumie vocha?(afu sio atume buku lol)... Mke/ Mpenzi sharti apewe pocket money japo mara 1 kwa week, mahitaji yetu ni mengi ati....
 
swala la kutoa au kusaidiana ni la wote.
 
nimeongelea sisi wanawake ambao tumeshapenda lakini upande wa pili unaonekana kama una wasiwasi. Kama ungekuwa mwanamke ungeweza kuendelea na mahusiano katika hali kama hizo? Nini hatma ya mahusiano hayo?

Nimekupata vizuri sana sweetheart na yep sredi ni nzuri sana kwa wadada lakini nilikuwa najaribu kuishibisha kile kilichokosekana tu kwamba kabla kuchunguza upande wa pili ni vyema first priority ikawa kujichunguza wenyewe.
Unaonaje apo?
 
kiukweli huwa nakufagilia xaaana @husninyo... hapa ndo umenimaliza kabisaaaa.... so so useful and a very trustworth post!!!

ahsante, waambie na dada zetu wa nyumbani wapitie hapa. Lol.
 
Kweli kabisa FA.... Mume/Mwanaume bora ni yule asiyesubiri kuombwa...unajua mpenzi wako ana simu why usimtumie vocha?(afu sio atume buku lol)... Mke/ Mpenzi sharti apewe pocket money japo mara 1 kwa week, mahitaji yetu ni mengi ati....

Of course, tena hiyo pocket money iwe ya kutosha, si unajua tena siku hizi tshs laki moja si pesa.
 
Kweli kabisa FA.... Mume/Mwanaume bora ni yule asiyesubiri kuombwa...unajua mpenzi wako ana simu why usimtumie vocha?(afu sio atume buku lol)... Mke/ Mpenzi sharti apewe pocket money japo mara 1 kwa week, mahitaji yetu ni mengi ati....

kweli swahiba, kuomba omba kwa wanawake kunashusha thamani ya penzi. Mwanaume anaewajibika katika hilo bila kuambiwa ndio wa ukweli.
 
Hehehe! Hapo kwenye mabano tunaomba ushahidi wa kimaandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…