Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

swala la kutoa au kusaidiana ni la wote.
Binafsi mimi kumuomba hela au kitu mwanamke ni mwiko (labda ile kitu yetu ya burudani uloninyima wewe lol) , this is me as me, sio kwamba namzarau lakini naelewa kwamba ni sehemu ya menhood kuwa provider kwa mwanamke. Zawadi ni exceptional
 
You are the man.
 
Ngoja wale feminists waje.
 
Nimekupata vizuri sana sweetheart na yep sredi ni nzuri sana kwa wadada lakini nilikuwa najaribu kuishibisha kile kilichokosekana tu kwamba kabla kuchunguza upande wa pili ni vyema first priority ikawa kujichunguza wenyewe.
Unaonaje apo?

kloro kuna wadada wengi nawaona wanatesa na mapenzi tena wengine wakiwa ni watu wangu wa karibu. Mdada kila siku yeye ndio mstari wa mbele kupiga simu, asipopiga mpenzi nae anamute.
Mdada yupo na mpenzi lakini hajui ndugu wa jamaa hata mmoja pamoja na jitihada zote anazofanya kulilinda na kuboresha penzi. Hivi hapo mdada utasema unapendwa kweli? Kuna rafiki yangu nae alikuwa na mwanaume lakini hapajui anapoishi. Miezi 6 ya mwanzo wamesumbuana sana hatimae mwanaume akampeleka anapoishi. Muda si mrefu akagundua kuna mwanamke huwa anaenda kupika, kupakua na sometimes kulala hapo hapo.
 
Hus,

Vitu vingi ulivyovitaja ni vya kweli ila inabidi wajukuu zangu muwe waangalifu...Kuna vitu vingine vina-apply kwa mtu ambaye keshapata dozi ya kutosha. Ukiviangalia kwa mtu anayefukuzia, basi utauvaa mkenge kwa sababu huwa wanatimiza karibia yote hayo ili walau watunukiwe mara moja!
 
Safi sana.
Binafsi mimi kumuomba hela au kitu mwanamke ni mwiko (labda ile kitu yetu ya burudani uloninyima wewe lol) , this is me as me, sio kwamba namzarau lakini naelewa kwamba ni sehemu ya menhood kuwa provider kwa mwanamke. Zawadi ni exceptional[/QUOTE
 
Binafsi mimi kumuomba hela au kitu mwanamke ni mwiko (labda ile kitu yetu ya burudani uloninyima wewe lol) , this is me as me, sio kwamba namzarau lakini naelewa kwamba ni sehemu ya menhood kuwa provider kwa mwanamke. Zawadi ni exceptional

kama upo hivyo kweli hongera.
 
babu ndio maana nikasema kigezo kimoja hakitoshi kuconclude kama huyo mtu anakupenda au lah. Wajukuu wengine hadi tugawe tunda ni mpaka vigezo na masharti yote yazingatiwe. Lol.
Vigezo vingi vipo applicable hata kama mtu anafukuzia. Mfano; kama mwanaume ameoa, hawezi kukutambulisha kwa ndugu zake, kukupeleka kwake, kunakuwa na limitation ya muda wa kuwasiliana. Mpaka hapo mjukuu unastuka aisee.
 
You must be a queen to understand me that deep.

Just being real katika kuweka mipaka ya uanamke na uanaume. Bajeti inapangwa na wote, ila ukumu la mwanaume ni kutoa na kumeet bajeti na mwanamke anapokea na kutumia kutokana na bajeti iliyopangwa kwa manufaa ya familia.

Tatizo wanawake kwa kupanga bajeti ndogo au kukubali pendekezo la bajeti ndogo ambayo hailingani na hali halisi.
 
nimeona bora niseme tu nimesoma japo hainihusu.

yaani unaakili sana. siku nikiwa mkuu wa chuo cha jamii forums -( JF university )nitakupa degree, ambayo itaitwa Doctor of love ( Honoris Causa ). hii hakuna chuo amewai kutoa hapa duniani.

Akina dada wengi hawazingatii hayo uliyo andika , tena ni rahisi mno kuona hayo kama hujamfuata mtu kwa msukumo wa muonekano au status yake- hayo yote hakuna mwanaume anaweza ku-pretend.
 
Salaam alekum, nimepita tu kusalimia, nipo kwenye biriani la kukata na shoka kwa Hamza Kasongo. Kuna yoyote wa JF hapa nimsalimie? Amuone ff live.

w'msalaam! Usipite hivi hivi.
 
Hus,

Nami nakupa ma uzoefu 2 tu:

Mawasiliano....Kama jamaa ndo bado anafukuzia, anaweza kupiga simu kila baada ya dak 15!...Ukilewa na sifa hiyo...jamaa anatafuna chap chap na kuanza mbele....

Ili kujua kama jamaa kweli ana kufeel na ndio maana anakupigia au kukuttext kila mara inakuwa vigumu hadi akishakata kiu!!

Ubahiri...Kwa jamaa ambaye bado anatafuta, hili unaweza usilione. Siyo kutoa pesa tu, bali hata ahadi zenye thamani zaidi ya yale mapesa ya afande wetu (3tril) unaweza kupewa. Akishachungulia ikuli kama mara 1 hadi 10 hivi, ndio unamjua. Kama ni mtu wa kukaa au mpita njia!

Please, tahadhari za babu ni muhimu sana kuziangalia, tena kwa makini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…