Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

kweli swahiba, kuomba omba kwa wanawake kunashusha thamani ya penzi. Mwanaume anaewajibika katika hilo bila kuambiwa ndio wa ukweli.
Kama shemeji uporoto...lol. Ntakutafuta baadae unambie ulicopy hii mada afu ukaipestia jf... Ya ukweli sana swahiba.
 

babu nakukubali. Nilishakumbana na jamaa kwenye mawasiliano alikuwa njema sana. Kila dakika kama sio simu msg, mpaka mavocha nilikuwa natumiwa ila mengine yote hakuweza kupretend. Nikabwaga hukoooo. Sijui limefia wapi.
 

Fact!.......
Well done mstaafu.
Halaf hawa wadada tunawasaidia mikakati na mpaka sasa sijapata hata PM moja ya kushukuriwa. Damn!
 
babu nakukubali. Nilishakumbana na jamaa kwenye mawasiliano alikuwa njema sana. Kila dakika kama sio simu msg, mpaka mavocha nilikuwa natumiwa ila mengine yote hakuweza kupretend. Nikabwaga hukoooo. Sijui limefia wapi.

hii ni mawasiliano ya simu. Undani wa mawasiliano unakuja kwenye issues zenyewe, mnapenda kuongelea issue zinazoshabihiana na je mnakubaliana. Kuna njemba ambazo zinajifana mnafafana kwenye interests na discussions, na akakubali kila unachomwambia kabla hujamkubalia tunda au ndio gia ya kutongezea. Akipata ****** hulia mbwata na kuonyesha makucha.

Nionyeshe ullivyo nikupende ulivyo, bottom line mwanaume lazima approvide.
 
Salaam alekum, nimepita tu kusalimia, nipo kwenye biriani la kukata na shoka kwa Hamza Kasongo. Kuna yoyote wa JF hapa nimsalimie? Amuone ff live.

njoo upande wa kushoto nimetilia nguo nyeupe na mtandio wa pink nimebana nywele na hereni za manjano umeniona
 

Huu ni ukweli mtupuuuuu


Hapa kidogo ni utata, naomba niseme kwamba unaweza kushirikishwa kwa 100% lakini penzi lake liko pande ingine kabisaaaa......kushirikishwa kwako ni kwa vile anaona kuwa una busara za kumshauri na mara zote umekua ukimpa ushauri unaofaa kuliko kile kipenzi chake cha rohoni lol! Kwahiyo msijidanganye hapa na kujipa moyo kuwa maadamu umeshirikishwa na anaendelea kukushirikisha mambo mengi basi wewe ndio chaguo lake la hashaa!!!



Hapa ndio patamu ninapopataka kupasikia.......fungukeni wajameniiiiii tupate darasa hapa.

Samahani nime type fastaaa hapa sijui kama nitakua nimekosea. I'll be back......asante sana Hus uzi mtamu kwelkwel
 
Husninyo,punde tu nimepokea E mail toka kwa Eliza wa Tegeta,kaniambia niikopi na kuipest hivo hivo ilivyo bila kutoa chenga,anasema yeye yuko bize na vekesheni hukooooooo Acapulco. Hivyo kesi ya kupiga chabo hainihusu. Inasomeka hivi:

ANGALIZO
Kupendwa na kuolewa:hivi mtu akikupenda lazima akuoe? Hamuwezi kupendana bila kuoana? strings?conditionality,sikubusu mpaka unifanyie hichi.....,i thought mambo haya yanatakiwa ya flow yenyewe.
Mawasiliano: Yaani hampeani muda wa kupumua kisa mapenzi?mkioana mtaendelea hivo hivo au ndo mwanzo wa kusema 'hunipendi siku hizi' kisa hajajibu sms?
Ushirikishwaji: Huu ndo mwanzo wa kufungwa sasa.Nikushirikishe kwenye mazabe yangu na siku tukikorofishana si utanilipua kwa Kova?
Utambulisho: Anayekupenda ni mimi au ni mama,baba au dada zangu?Ukishawajua ndo muanze umbea na ma sis wangu,'oh wifi afadhali wewe yule Maryam alikuwa ni wa hovyo',inahuu?
Mazingira: Mwenzangu geti kali Masaki mi uswazi choo paspoti saiz nikulete halafu uni dump?lol tutaendelea kukutana steers.
Kunifahamu: Jamani nshakuchojolea,ushaniona unyayo,kabamia hadi utosi,unataka unifahamuje zaidi ya hapo?
Ubahili: yale yaleeeeeeee,pesa sabuni ya roho,sawa bana sisi sakapoko mwaka huu hatuoi,maana hata kazini kwenyewe nauli shughuli.
Ameoa: Si inategemea jamani? labda nina mpango wa kumpiga chini wife nikuoe wewe,au labda dini/kabila inaniruhusu?

Hitimisho: IT IS ALL ABOUT FRICTION,period!
 
Kwa kua umeruhusu tuchungulie basi naogopa ku'share comments ila thread imewakunaje! Wahusika, umewagusa kwenye G-spot! He-he-heeyaa! Oooh-maaama.
 
tufungukeje jamani zaidi ya kuwanunulia rav4 na kuwafugulia saluni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…