Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)


Nimeupenda sana mchango wako kwa sababu upo katika uhalisia wa maisha ya kweli na si haya ya kidotcom.

Nimalizie kwa kulonga kimombo.

A successful marriage requires a lot of give-and-take between husband and wife. Not from husband to wife or from wife to husband. The same applies to a boyfriend-girlfriend relationship.
 

Hiki ndio nimewaonya wajukuu zangu,,

Ningekuwa na tunda langu hata sijui kama kuna mtu angeligusa..Yaani, lingeweza hata kukaribia kuniozea!!!!

Babu DC!!!
 

Fact!......
 
Husninyo,
Nashukuru sana kwa sred nzuri. Japokuwa MEN wamepigwa marufuku lakini kumbe mwishoni umewahitaji! Mimi naomba nichangie katika suala la ushirikishwaji:
1. Kuna baadhi ya wanawake ukiwashirikisha jambo utalisikia "mtaa wa pili!" Hapa ikitokea hivyo unafikiri huyo mwenzi atashirikishwa tena?
2. Kuna baadhi ya wanawake mkijadili jambo analazimisha lifanyike atakavyo yeye, otherwise atakinunia wiki nzima!
Anyway,
Yako mengi ambayo wanawake huwafanya wanaume watumie ubabe katika mapenzi na kama ikishindikanana kilichobaki ni "kukata mti na kupanda mti!"
 
Nawatafuta wote
wakaoge
wameshacheza sana na wamechafuka mno

kwa kweli hii sredi naomba niiheshimu tu niendelee kuwasaka hawa watoto

unamtafuta the boss au finest. Usipite juu ya topic utafuta maandishi.
 
w'msalaam! Usipite hivi hivi.

Mie umeniwekea "speed governor":

"Thread hii ni maalum kwa wadada hasa waliopo kwenye mahusiano ila bado hawajaolewa..."

Nilipita kusalimia tu, lakini nipo nawachungulia tu, mambo mazito haya mie yamenizidi kimo.
 

Bahati mbaya natumia katochi kangu nimeshindwa ku-like....very good point.
 


Taratibu kaka Bishanga,

Hapo kwenye blue...ni wajukuu zangu wachache sana ambao wako tayari kukuachia mwili wao uufanyie ma experiment yako na kuukodolea macho kama movie bila malengo......Labda kama mmeshakubaliana dau!!

Ila kwa uzoefu wangu...hakuna taabu kwa mwanamume kubwa (at anytime "t"), kama kuwa na mwanamke ambaye ni wa kutoa burudani tu......Baada ya kupata dozi kama 10 hivi, anakuwa kero na unwanted/undesirable/uninteresting kama kituo cha Kova!!
 
Hii ndio nilikuwa namaanisha kule kwenye post yangu ya kwanza.
U r on spot buddy. Senks
 

kweli kabisa na ndio maana nikasema kama usiposhirikishwa kwa kutoa ushauri basi ushirikishwe japo kwa kupewa taarifa.
 
Nawatafuta wote
wakaoge
wameshacheza sana na wamechafuka mno

kwa kweli hii sredi naomba niiheshimu tu niendelee kuwasaka hawa watoto

ahsante kwa kuiheshimu. Ngoja nimwambie mtoto TF kuwa anatafutwa.
 
Mie umeniwekea "speed governor":

"Thread hii ni maalum kwa wadada hasa waliopo kwenye mahusiano ila bado hawajaolewa..."

Nilipita kusalimia tu, lakini nipo nawachungulia tu, mambo mazito haya mie yamenizidi kimo.

hahahahaha! Niliwaekea swali lenu wenye ndoa ila mnalipita. Lol.
 

Ni kweli hakuna recipe ambayo inaweza kuwagusa watu wote...Ila zipo ambazo zinawagusa wengi...Kama una idea ya kitu kinaitwa normal distribution, basi utakubaliana nami kwamba mawazo ya Hus yanawagusa wengi....Pia soma ushuhuda wa Kokutona!!
 

Pole sana Koku,

Ila wewe (may be na wenzako), kama unaenda gengeni kununua kitumbua badala yake ukafungiwa andazi huwezi kustuka???

Siamini kama kuna watu wanakuwa naive kiasi hicho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…