Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

==Updates==
Post hii niliiandika kwa wema kabisa, lengo ilikua kuwatia moyo wadada ambao wana changamoto za maisha kua wasikubali kutumiwa kimapenzi ajili ya shida zao. Pia kuwaonya watu wenye tabia ya kuomba rushwa ya ngono.. Ila kuna watu wamekuja kubadiri upepo/Lengo kuu la mada hadi inaonekana kua mimi nawasema vibaya wadada. Sio vizuri kufanya hvo jamani, mimi siwezi kukaa na kuandika mambo ya kuwasema vibaya..wote tu wanadamu hakuna mkamilifu..Sawa tu jamani
Asante kwa ujumbe mzuri na pole pia kwa kupata mawazo negative kutoka kwa wa changiaji.

Mada ni nzuri sana lakini palipoleta shaka kidogo ni kipengele cha kutoa penzi kwa ajili ya kupata kazi.

Uzinzi ni Uzinzi tuu haijalishi umefanya ili upate kazi, au ili upate hela na sababu nyinginezo. Huyo "roho mtakatifu/wa Bwana" sidhani kama anachambua huu uzinzi ni wa amempa HR au amempa nani , yeye anahesabia umezini. Na madhara ya zinaa ni yale yale hata kama unazini na boyfriend
wako ambaye hamjaoana.( kwa wale wanaoamini maandiko).

Kwa mtazamo wangu huu uzi bila huo mfano wa HR na badala yake ukemee zinaa kwa ujumla bila kuangalia mtu kazini kwa lengo gani..ni uzi mzuri sana na Asante kwa ujumbe.
 
Ngono ni rushwa kama rushwa zingine, kwa hiyo HR mwenye tabia kama hizo kwa vyovyote atakuwa anaajiri mvuto badala ya uwezo wa kufanya kazi hapo ndipo ubaya unapokuja. Hata kazini hukutakuwa na fair treatment, anayetoa ndio anapewa hivyo mtu analazimika kutoa kitu apate kitu....huo ndio unyanyasaji sasa. Kumbuka mimi siwatetei mabosi wanaofanya hayo ila najiweka kwenye nafasi ya mwanamke ambae wahuni huwa wanamvua tu halafu anakuja boss na offer ya kazi anavunga loh
Nao wanahaki yakupewa japo mnarudi hadharani na kusema ni unyanyasaji wa kijinsia ilihali mmekubaliana kwa moyo mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema sasa Paula Paul.... Am proud of you girl [emoji122][emoji122][emoji122]
Asante kwa ujumbe mzuri na pole pia kwa kupata mawazo negative kutoka kwa wa changiaji.

Mada ni nzuri sana lakini palipoleta shaka kidogo ni kipengele cha kutoa penzi kwa ajili ya kupata kazi.

Uzinzi ni Uzinzi tuu haijalishi umefanya ili upate kazi, au ili upate hela na sababu nyinginezo. Huyo "roho mtakatifu/wa Bwana" sidhani kama anachambua huu uzinzi ni wa amempa HR au amempa nani , yeye anahesabia umezini. Na madhara ya zinaa ni yale yale hata kama unazini na boyfriend
wako ambaye hamjaoana.( kwa wale wanaoamini maandiko).

Kwa mtazamo wangu huu uzi bila huo mfano wa HR na badala yake ukemee zinaa kwa ujumla bila kuangalia mtu kazini kwa lengo gani..ni uzi mzuri sana na Asante kwa ujumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema kweli, sioni tofauti kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sema sina nguvu za kuandika maelezo mengi. Lakini kwa kusummarize ni kwamba "We are what we repeatedly do ". Kuna vitu unapovifanya, your conscience (dhamiri) taratibu inaharibika, mwisho wa siku ukipata changamoto kama hiyo unakuwa huoni noma kufanya mbinu ile ile, tena unaweza kuanzisha wewe huo mchakato.

Kwa wadada zetu wa Kitanzania naowajua, unaona kabisa yupo competent anaweza kupata hiyo nafasi au anaweza kupata advancement kwenye kazi yake, lakini unaona anatengeneza mazingira ya kutoa bumunda.
 
You've my respek, Paula

We are what we repeatedly do. Uko sawa kabisa, mtu unafanya ngono tangu una miaka 14, karibu kila mkoa uliopita kuna mtu amekuvua sasa kwa HR siku moja tu kuna ugumu gani? Kwani yeye atafanya nini cha ajabu kitakachomfanya huyu dada ajione hana thamani kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom