Wtf..habari za nzi sijui kidondani sikuelewi ushaambiwa niHehe..kifo mfano wa kifo cha nzi kufia kidondani hakitishi, ni cha kishujaa, sijawahi kufa sababu sikuwahi kupenda ila unapopenda inabidi uwe tayari kwa lolote just for her happiness hata kama ni kwa kumuacha kama navyokushauri sasa hapa.
Hehe..nangoja nisikie kutoka kwa Heaven Sent nijue kama yuko tayari kuendelea na iyo style ya shaaaa ama kachoka, kauli yake itanipa strength and courage to fight.Hehehe!, naona mpambano ulikuwa mkali haswa.
Hahaha...Bwana kajibu maombi Heaven hakuna kujificha tena wewe ni mke sasa
I got the eye of the tiger, a fighter dancing through the fire
cause I am a champion and you're gonna hear me roar
Louder, louder than a lion
cause I am a champion and you're gonna hear me roar
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
mkaimbiane hizo kuchi kuchi zenu, mie mgeni maeneo hayo, ila subiri baba mtu akupe rukhsa.Hahaha...Bwana kajibu maombi Heaven hakuna kujificha tena wewe ni mke sasa
I got the eye of the tiger, a fighter dancing through the fire
cause I am a champion and you're gonna hear me roar
Louder, louder than a lion
cause I am a champion and you're gonna hear me roar
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
Hahaha...mwambie kabisa aelewe maana anapotosha ulichomaanisha, kwanza bado hatujaafikiana kama ulivyopendekeza nashangaa tu unasema aondoke nae, usimpendelee chagua amfaaye mbintiyo, keshaanza kumuungurumia ka Simba mala hii si atamla nyama huyu.mkaimbiane hizo kuchi kuchi zenu, mie mgeni maeneo hayo, ila subiri baba mtu akupe rukhsa.
Hehe..nangoja nisikie kutoka kwa Heaven Sent nijue kama yuko tayari kuendelea na iyo style ya shaaaa ama kachoka, kauli yake itanipa strength and courage to fight.
Let them know Mke..Yeeeeeeeees
Kwanini wasiweze?
Eti atoto kwa nini wanaona haiwezekani?
Mbona unampa mbinu? akichange si atamuwin na mie takosa? hata huna huruma juu yangu, taenda kwa nani sasa na wewe sidhani kama utanikubali maana sina hakika kama uko ready.Huu ndo uanaume bhana!
Benny na wewe u update basi
Hizo style zako za shaaa zimepitwa na wakati.
Unaona watu wanavopigana hapa. Itabidi uachane nazo
Mbona unampa mbinu? akichange si atamuwin na mie takosa? hata huna huruma juu yangu, taenda kwa nani sasa na wewe sidhani kama utanikubali maana sina hakika kama uko ready.
You are just wasting your precious time kaka, yuko wapi huyo unayemwita mkeo? unadhani kwa nini hatoi tamko? unadhani haoni ulichomwomba? hata huoni sio kawaida? kwa nini alichelewa kuitika ulipomwita...na mimi nilikuonya mwache amalizie and she liked the post instantly?....hehehe...ni kama things are falling apart just jiandae psychologically aisee.Let them know Mke..
Kuna mtu anajina lina
namba kama calender
simuelewi but we are the skyscraper he cant take anything we have!
Hahaha kui
Huyu bro leo
sijui katokea wapi
au ndio Game ya fainali
kabla ya kupewa kombe langu?
Huu mpambano si mchezo Benny.
Pengine ndo unatunukiwa who knows?
Si unajua fainali inavokuwa ngumu.
Challenge yako ndo Sumve 2015. π
Nobody wanna see us togetherLet them know Mke..
Kuna mtu anajina lina
namba kama calender
simuelewi but we are the skyscraper he cant take anything we have!
You are just wasting your precious time kaka, yuko wapi huyo unayemwita mkeo? unadhani kwa nini hatoi tamko? unadhani haoni ulichomwomba? hata huoni sio kawaida? kwa nini alichelewa kuitika ulipomwita...na mimi nilikuonya mwache amalizie and she liked the post instantly?....hehehe...ni kama things are falling apart just jiandae psychologically aisee.
Hahaha...watu hawana huruma, mapenzi si kukomoana, unampiga mwenzio show ya kibabe afu bila hata kumwandaa akichoka ndo unajidai ooh mke hao wa nje huko hawana lolote, acha aonje then achague kupi kutamu game iwe fair uone ka atarudi.atoto tujipe moyo, kumbe hizo style za shaaa hazinaga mpango kivile. Nikajua kila mtu anapenda hivo.
Halafu mbaya zaidi ukute ME anayependa shaaa, ni mwanaume ugali fresh. Aisee utaona ndoa chungu.
Nobody wanna see us together
But it don't matter No
Coz I got you