Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Wtf..habari za nzi sijui kidondani sikuelewi ushaambiwa niHehe..kifo mfano wa kifo cha nzi kufia kidondani hakitishi, ni cha kishujaa, sijawahi kufa sababu sikuwahi kupenda ila unapopenda inabidi uwe tayari kwa lolote just for her happiness hata kama ni kwa kumuacha kama navyokushauri sasa hapa.
mke wa mtu
Go and love yourself!