Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

Hehe..kifo mfano wa kifo cha nzi kufia kidondani hakitishi, ni cha kishujaa, sijawahi kufa sababu sikuwahi kupenda ila unapopenda inabidi uwe tayari kwa lolote just for her happiness hata kama ni kwa kumuacha kama navyokushauri sasa hapa.
Wtf..habari za nzi sijui kidondani sikuelewi ushaambiwa ni
mke wa mtu
Go and love yourself!
 
Hahaha...Bwana kajibu maombi Heaven hakuna kujificha tena wewe ni mke sasa

I got the eye of the tiger, a fighter dancing through the fire
cause I am a champion and you're gonna hear me roar

Louder, louder than a lion

Oh oh oh oh oh oh oh

mkaimbiane hizo kuchi kuchi zenu, mie mgeni maeneo hayo, ila subiri baba mtu akupe rukhsa.
 
Hahaha...mwambie kabisa aelewe maana anapotosha ulichomaanisha, kwanza bado hatujaafikiana kama ulivyopendekeza nashangaa tu unasema aondoke nae, usimpendelee chagua amfaaye mbintiyo, keshaanza kumuungurumia ka Simba mala hii si atamla nyama huyu.
 
Huu ndo uanaume bhana!

Benny na wewe u update basi

Hizo style zako za shaaa zimepitwa na wakati.
Unaona watu wanavopigana hapa. Itabidi uachane nazo
Mbona unampa mbinu? akichange si atamuwin na mie takosa? hata huna huruma juu yangu, taenda kwa nani sasa na wewe sidhani kama utanikubali maana sina hakika kama uko ready.
 
atoto tujipe moyo, kumbe hizo style za shaaa hazinaga mpango kivile. Nikajua kila mtu anapenda hivo.

Halafu mbaya zaidi ukute ME anayependa shaaa, ni mwanaume ugali fresh. Aisee utaona ndoa chungu.
 
Hahaha kui

Huyu bro leo
sijui katokea wapi

au ndio Game ya fainali
kabla ya kupewa kombe langu?
 
Mbona unampa mbinu? akichange si atamuwin na mie takosa? hata huna huruma juu yangu, taenda kwa nani sasa na wewe sidhani kama utanikubali maana sina hakika kama uko ready.

Hahah!, akichange na wewe unatafuta mbinu nyingine ya kumnasa Heaven Sent

Aisee atakaye win atahitaji hongera nyingi sana.
 
Let them know Mke..

Kuna mtu anajina lina
namba kama calender
simuelewi but we are the skyscraper he cant take anything we have!
You are just wasting your precious time kaka, yuko wapi huyo unayemwita mkeo? unadhani kwa nini hatoi tamko? unadhani haoni ulichomwomba? hata huoni sio kawaida? kwa nini alichelewa kuitika ulipomwita...na mimi nilikuonya mwache amalizie and she liked the post instantly?....hehehe...ni kama things are falling apart just jiandae psychologically aisee.
 
hahahaaaa!! haki utaimba haleluya!

atoto tujipe moyo, kumbe hizo style za shaaa hazinaga mpango kivile. Nikajua kila mtu anapenda hivo.

Halafu mbaya zaidi ukute ME anayependa shaaa, ni mwanaume ugali fresh. Aisee utaona ndoa chungu.
 
You are just wasting your precious time kaka, yuko wapi huyo unayemwita mkeo? unadhani kwa nini hatoi tamko? unadhani haoni ulichomwomba? hata huoni sio kawaida? kwa nini alichelewa kuitika ulipomwita...na mimi nilikuonya mwache amalizie and she liked the post instantly?....hehehe...ni kama things are falling apart just jiandae psychologically aisee.

Nakupiga Ban mda si mrefu [emoji35] [emoji35]
 
atoto tujipe moyo, kumbe hizo style za shaaa hazinaga mpango kivile. Nikajua kila mtu anapenda hivo.

Halafu mbaya zaidi ukute ME anayependa shaaa, ni mwanaume ugali fresh. Aisee utaona ndoa chungu.
Hahaha...watu hawana huruma, mapenzi si kukomoana, unampiga mwenzio show ya kibabe afu bila hata kumwandaa akichoka ndo unajidai ooh mke hao wa nje huko hawana lolote, acha aonje then achague kupi kutamu game iwe fair uone ka atarudi.
 
Nobody wanna see us together
But it don't matter No
Coz I got you

Cause I got you babe
Cause we gonna fight
Oh yes we gonna fight
Believe we gonna fight
Fight for our right to love yeah
Nobody wanna see us together
But it don't matter
 
Back
Top Bottom