Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha huwa nawaalert mapema ili baadaye wasije kunilaumuHeheh!, well, you have to stand for what you believe in, to make it work.
Ukijiamini vizuri hakuna atakaye kusumbua. Watajua right at the start kwamba wasicheze, na wakicheza inakula kwao. Raha kuwa confident.
Wife..Andaa gift paper..Huyu mtoto wa kugawa sasa..Mi nilikuwa najua hizi mambo hajaanza atikumbe una experience nzito hivi, nilikuwa nashangaa kila siku kuombwa hela za pants kumbe hii ndio shughuli inayofanyika!! Naomba baba yako Kaboom asisome hapa maana anaweza zimia.
Wife..Andaa gift paper..Huyu mtoto wa kugawa sasa..Mi nilikuwa najua hizi mambo hajaanza ati
Heheh!, well, you have to stand for what you believe in, to make it work.
Ukijiamini vizuri hakuna atakaye kusumbua. Watajua right at the start kwamba wasicheze, na wakicheza inakula kwao. Raha kuwa confident.
If they 'lose you' everytime........................oooops!Hahaha huwa nawaalert mapema ili baadaye wasije kunilaumu
Sport on!,....NENO!
Halafu nilikuwa na tabia mbaya, nikiona tu mtu anaanza kuwa "funny" natafuta sababu ya kusepa kwanza so I won't be the one to get dumped first. 🙂
Sport on!,....NENO!
Halafu nilikuwa na tabia mbaya, nikiona tu mtu anaanza kuwa "funny" natafuta sababu ya kusepa kwanza so I won't be the one to get dumped first. 🙂
Em funguka. ..........If they 'lose you' everytime........................oooops!
Sure..Asije akashiba akiwa bado yupo home..Tukaanza kupishana nae koridoni na tumbo lake..Mama kashiba,mtoto kashiba..Si balaa hilo..Ntaikimbia nyumba aiseekishakubuhu huyu ni wa kugawa tu mume wangu.
Umenikumbusha limwanamke fulani lilinidump eti madai yake linaniwai
Sure..Asije akashiba akiwa bado yupo home..Tukaanza kupishana nae koridoni na tumbo lake..Mama kashiba,mtoto kashiba..Si balaa hilo..Ntaikimbia nyumba aisee
Hahaha huwa nawaalert mapema ili baadaye wasije kunilaumu
Sport on!,....NENO!
Halafu nilikuwa na tabia mbaya, nikiona tu mtu anaanza kuwa "funny" natafuta sababu ya kusepa kwanza so I won't be the one to get dumped first. 🙂
Nimeacha[emoji125] [emoji125] [emoji125]wacha we!!
Nimeacha[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Eeh hata hiyo yangu ni compliment tehhahahaaa! that was a compliment my dear!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] i have never hard something like that menTatizo la number 8 ni kutifua hali ya hewa inakuwa si nzuri humo chumbani,yaani ni sawa sawa na gari bila MUFFLER au SILENCER..
hahahaaaa eti "limwanamke" kweli alikuwahi.
hahahaaaa eti "limwanamke" kweli alikuwahi.
Hahahaaa you silly goose!
I thought about doing that one time then I talked myself out of it coz it was kinda childish...
Nilimchoka akanishtukia. Siku moja nimetoka safari nikampigia ili anihesabie dinner nile nisepe kwangu.
Kufika kwake na tuwine twangu nikakuta tv imetunguliwa ukutani, redio hadi masufuria na mifuniko yake, bia nilizoziacha kwenye friji yake zipo kwenye mfuko na nguo ninazoachaga nikilala kwake!!! Sikuuliza hata kinachoendelea nikajua tu kimenuka
Mvua ilikuwa inanyesha akawa ananifunika na mwamvuli wakati nasomba mizigo yangu kama to the left ya beyonce
Miezi minne badae akaolewa kabisa kabisa na picha niliona fb! Yani ukisikia tatu bila au kupata sifuri kwenye mtihani ndio huku