Nilimchoka akanishtukia. Siku moja nimetoka safari nikampigia ili anihesabie dinner nile nisepe kwangu.
Kufika kwake na tuwine twangu nikakuta tv imetunguliwa ukutani, redio hadi masufuria na mifuniko yake, bia nilizoziacha kwenye friji yake zipo kwenye mfuko na nguo ninazoachaga nikilala kwake!!! Sikuuliza hata kinachoendelea nikajua tu kimenuka
Mvua ilikuwa inanyesha akawa ananifunika na mwamvuli wakati nasomba mizigo yangu kama to the left ya beyonce
Miezi minne badae akaolewa kabisa kabisa na picha niliona fb! Yani ukisikia tatu bila au kupata sifuri kwenye mtihani ndio huku