Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

Heheh!, well, you have to stand for what you believe in, to make it work.

Ukijiamini vizuri hakuna atakaye kusumbua. Watajua right at the start kwamba wasicheze, na wakicheza inakula kwao. Raha kuwa confident.
Hahaha huwa nawaalert mapema ili baadaye wasije kunilaumu
 
If they 'lose you' everytime........................oooops!
 
Sport on!,....NENO!

Halafu nilikuwa na tabia mbaya, nikiona tu mtu anaanza kuwa "funny" natafuta sababu ya kusepa kwanza so I won't be the one to get dumped first. 🙂

Umenikumbusha limwanamke fulani lilinidump eti madai yake linaniwai
 
Sport on!,....NENO!

Halafu nilikuwa na tabia mbaya, nikiona tu mtu anaanza kuwa "funny" natafuta sababu ya kusepa kwanza so I won't be the one to get dumped first. 🙂

Hahahaaa you silly goose!

I thought about doing that one time then I talked myself out of it coz it was kinda childish...
 
hahahaaa! ndio ujitahidi mama asishibe tena.

sasa baba ukitukimbia unatuacha na nani? tufanye tu mpango Benny ajibebee.

Sure..Asije akashiba akiwa bado yupo home..Tukaanza kupishana nae koridoni na tumbo lake..Mama kashiba,mtoto kashiba..Si balaa hilo..Ntaikimbia nyumba aisee
 
hahahaaaa!! au ile mtu umemchoka ila kumwambis unashindwa pa kuanzia, mie naanza tu visa ni kuomba hela tuuu asubuhi mchana jioni, akipiga simu ni hela, akituma msg ni hela, mwisho anachoka mwenyewe anajisepea.

Sport on!,....NENO!

Halafu nilikuwa na tabia mbaya, nikiona tu mtu anaanza kuwa "funny" natafuta sababu ya kusepa kwanza so I won't be the one to get dumped first. 🙂
 
hahahaaaa eti "limwanamke" kweli alikuwahi.

Nilimchoka akanishtukia. Siku moja nimetoka safari nikampigia ili anihesabie dinner nile nisepe kwangu.

Kufika kwake na tuwine twangu nikakuta tv imetunguliwa ukutani, redio hadi masufuria na mifuniko yake, bia nilizoziacha kwenye friji yake zipo kwenye mfuko na nguo ninazoachaga nikilala kwake!!! Sikuuliza hata kinachoendelea nikajua tu kimenuka

Mvua ilikuwa inanyesha akawa ananifunika na mwamvuli wakati nasomba mizigo yangu kama to the left ya beyonce

Miezi minne badae akaolewa kabisa kabisa na picha niliona fb! Yani ukisikia tatu bila au kupata sifuri kwenye mtihani ndio huku
 
hahahaaaa eti "limwanamke" kweli alikuwahi.

Nilimchoka akanishtukia. Siku moja nimetoka safari nikampigia ili anihesabie dinner nile nisepe kwangu.

Kufika kwake na tuwine twangu nikakuta tv imetunguliwa ukutani, redio hadi masufuria na mifuniko yake, bia nilizoziacha kwenye friji yake zipo kwenye mfuko na nguo ninazoachaga nikilala kwake!!! Sikuuliza hata kinachoendelea nikajua tu kimenuka

Mvua ilikuwa inanyesha akawa ananifunika na mwamvuli wakati nasomba mizigo yangu kama to the left ya beyonce

Miezi minne badae akaolewa kabisa kabisa na picha niliona fb! Yani ukisikia tatu bila au kupata sifuri kwenye mtihani ndio huku
 
Hahahaaa you silly goose!

I thought about doing that one time then I talked myself out of it coz it was kinda childish...

..come to think, it was actually childish but it felt good afterwards to outwit someone and show them the door, before they do that to you! 🙂
 
Nilimchoka akanishtukia. Siku moja nimetoka safari nikampigia ili anihesabie dinner nile nisepe kwangu.

Kufika kwake na tuwine twangu nikakuta tv imetunguliwa ukutani, redio hadi masufuria na mifuniko yake, bia nilizoziacha kwenye friji yake zipo kwenye mfuko na nguo ninazoachaga nikilala kwake!!! Sikuuliza hata kinachoendelea nikajua tu kimenuka

Mvua ilikuwa inanyesha akawa ananifunika na mwamvuli wakati nasomba mizigo yangu kama to the left ya beyonce

Miezi minne badae akaolewa kabisa kabisa na picha niliona fb! Yani ukisikia tatu bila au kupata sifuri kwenye mtihani ndio huku

Hahahaaa, she's a superwoman aisee, katungua mpaka tv ukutani, no wonder ukamwita Li, teh!, teh!
Halafu anaonekana yuko faithful hakusahau anything of yours, masufuria, mifuniko na bia ulizoacha, damn!,..she's totally me.

Eti kama to the left ya Beyonce, JF mweh!...lol!
 
Back
Top Bottom