Ladies, what do you wear in bed?

Hahaha to the left, to the left
Everything you own in the box to left

You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute

So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi
 
hahahaaaa! safi sana, nimeipenda hiyo.

Hahaha afu binti ana huruma, anamfunika hadi na Mwamvuli baby asilowane na mizigo yake teh
 
Reactions: kui
yaani nimecheka kama mazuri, hawa viumbe hata akikuchoka eti ukimuacha anaumia.

Hahaha to the left, to the left
Everything you own in the box to left

You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute

So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi
 
hahahaaaa! safi sana, nimeipenda hiyo.

Hahaha to the left, to the left
Everything you own in the box to left

You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute
So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi

Hahahaa!, nimempenda huyu dada.

Halafu raha sana kumfanyia mtu suprise. Eti mwenyewe kajipanga kwenda kula home made food, cha kupikwa na mtu ambaye umemchoka!
 
Hahahaa!, nimempenda huyu dada.

Halafu raha sana kumfanyia mtu suprise. Eti mwenyewe kajipanga kwenda kula home made food, cha kupikwa na mtu ambaye umemchoka!
Hahaha girl on fire. She killed him softly kwa kweli. Mtu kakuchoka, unamwambia tu best of luck
 
Hahaaaaa!, I know right, she's so nice!

Mbona ningeongeza kumlowesha na ndoo nzima
Hahaha hizo zimepitwa na wakati bana. Mnaachana kiroho safi, unamuitia tu na cab kabisa imbebee mizigo. Huyo binti nimempenda sana
 
yaani kacheza kama messi, safi sana na kuolewa juu, kweli aijua kumkomoa lusajo, kabaki na kumbukumbu fulani amaizing.

Hahahaa!, nimempenda huyu dada.

Halafu raha sana kumfanyia mtu suprise. Eti mwenyewe kajipanga kwenda kula home made food, cha kupikwa na mtu ambaye umemchoka!
 
Hahaha girl on fire. She killed him softly kwa kweli. Mtu kakuchoka, unamwambia tu best of luck

I know right!

Hahaha hizo zimepitwa na wakati bana. Mnaachana kiroho safi, unamuitia tu na cab kabisa imbebee mizigo. Huyo binti nimempenda sana

Nimependa alivyo mstaarabu, akambebesha mpaka bia zake.
Wengine wana hasira mbaya anamwacha mwanaume mweupe!
Kuna mtu alibeba mpaka nyanya na vitunguu.
 
Hahaha raha yao wakuache wewe afu uendelee kuteseka. Sasa mtu kakubwaga yeye na ndoa juu khaa

kuna mmoja alimuachaga rafiki yangu kwa nyodoo, after5 months bibie akawa anaolewa, uwii jamaa sijui aliibukia wapi eti anamtuhumu eti lazima alikuwa anachepuka, tukabaki tunacheka tu maana alitapatapa hatari.
Wanataka wakikuacha upate taabu usipate hata wa kukusalimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…