Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha to the left, to the leftNilimchoka akanishtukia. Siku moja nimetoka safari nikampigia ili anihesabie dinner nile nisepe kwangu.
Kufika kwake na tuwine twangu nikakuta tv imetunguliwa ukutani, redio hadi masufuria na mifuniko yake, bia nilizoziacha kwenye friji yake zipo kwenye mfuko na nguo ninazoachaga nikilala kwake!!! Sikuuliza hata kinachoendelea nikajua tu kimenuka
Mvua ilikuwa inanyesha akawa ananifunika na mwamvuli wakati nasomba mizigo yangu kama to the left ya beyonce
Miezi minne badae akaolewa kabisa kabisa na picha niliona fb! Yani ukisikia tatu bila au kupata sifuri kwenye mtihani ndio huku
Everything you own in the box to left
You must not know about me, you must not know about me
I could have another you in a minute, matter of fact he'll be here in a minute
So ulikuwa unaishi kwake au? Pole mwaegi