Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaombolezakuna mmoja alimuachaga rafiki yangu kwa nyodoo, after5 months bibie akawa anaolewa, uwii jamaa sijui aliibukia wapi eti anamtuhumu eti lazima alikuwa anachepuka, tukabaki tunacheka tu maana alitapatapa hatari.
Wanataka wakikuacha upate taabu usipate hata wa kukusalimia.
I know right!
Nimependa alivyo mstaarabu, akambebesha mpaka bia zake.
Wengine wana hasira mbaya anamwacha mwanaume mweupe!
Kuna mtu alibeba mpaka nyanya na vitunguu.
yaani kacheza kama messi, safi sana na kuolewa juu, kweli aijua kumkomoa lusajo, kabaki na kumbukumbu fulani amaizing.
Hahaha raha yao wakuache wewe afu uendelee kuteseka. Sasa mtu kakubwaga yeye na ndoa juu khaa
Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaomboleza
Mmh kuna watu ni mataahira khaa. Eti kabeba hadi Nyanya hatareeI know right!
Nimependa alivyo mstaarabu, akambebesha mpaka bia zake.
Wengine wana hasira mbaya anamwacha mwanaume mweupe!
Kuna mtu alibeba mpaka nyanya na vitunguu.
Teh kwa hiyo alikuwa anatishia ugomvi wa mawe wakati anaishi kwneye nyumba ya vioo? Imemcost tehalikuwa anasubiri kwenda kuangukiwa na kuombwa msamaha, akashangaa kadi ya mwaliko ndio inamfuata.
alikuwa anasubiri kwenda kuangukiwa na kuombwa msamaha, akashangaa kadi ya mwaliko ndio inamfuata.
Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaomboleza
Why chasing after wrong people jamani? MOVE ON...safi sana, my girls right there.
Hii inaitwa MOVING ON!
If they 'lose you' everytime........................oooops!
Teh kwa hiyo alikuwa anatishia ugomvi wa mawe wakati anaishi kwneye nyumba ya vioo? Imemcost teh
Khaaaaaa umenifanya niandike kitu wakati nilipanga kusoma tu, nimecheka hatariiiHahaha kui maswali gani haya watoto hata hawajalala. Wengi wanapenda namba 8 as inakuwa tu rahisi "kuingia". Sometimes ni nzuri pia kama utampa task ya kuchojoa yeye mwenyewe. Ingawa ndugu zetu walivyo na pressure usishangae kuchaniwa/ kukatiwa pant yako kisa haraka zao. Yani anaona kama unamtilia kiwingu teh, anachelewa mweee
Yani niliwish kama angefunguka zaidi, maan statement yake imenipa tafsiri nyingi kichwani. Like maybe everytime people "lose you" kwa sababu una kitu kinachowa-push away ......Heaven Sent halafu huyu RRONDO alikuwa anasema nini hapa. Kwamba ubaki tu unaumia hata kama mtu hana mpango na wewe kwa kuogopa nini?!
Hahaha kuna kibomu kingine huko mbele. Jana hawa mabinti walihack account yangu tehKhaaaaaa umenifanya niandike kitu wakati nilipanga kusoma tu, nimecheka hatariii
kuna mmoja alimuachaga rafiki yangu kwa nyodoo, after5 months bibie akawa anaolewa, uwii jamaa sijui aliibukia wapi eti anamtuhumu eti lazima alikuwa anachepuka, tukabaki tunacheka tu maana alitapatapa hatari.
Wanataka wakikuacha upate taabu usipate hata wa kukusalimia.
kule alikoenda kwa nyodo nako aliachwa binti akarudiana na mtu wake wa zamani wakatangaza ndoa, emagine hiyo scenario.
Hahhaa usiache mbachao. ...kule alikoenda kwa nyodo nako aliachwa binti akarudiana na mtu wake wa zamani wakatangaza ndoa, emagine hiyo scenario.
...safi sana, my girls right there.
Hii inaitwa MOVING ON!
Yani niliwish kama angefunguka zaidi, maan statement yake imenipa tafsiri nyingi kichwani. Like maybe everytime people "lose you" kwa sababu una kitu kinachowa-push away ......
Hahaaaaaa teh teh tehHahaa wewe cheka tu, sio kwa wanavyojua kukurupuka. Labda akutoe mapema kabla wazimu haujampanda
Tumsubiri kama atakuja, then we'll do the needful...good thinking, was about to start dropping lines on him.
Teh usicheke basi mweeeHahaaaaaa teh teh teh