Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

kuna mmoja alimuachaga rafiki yangu kwa nyodoo, after5 months bibie akawa anaolewa, uwii jamaa sijui aliibukia wapi eti anamtuhumu eti lazima alikuwa anachepuka, tukabaki tunacheka tu maana alitapatapa hatari.
Wanataka wakikuacha upate taabu usipate hata wa kukusalimia.
Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaomboleza
 
hahahaaaaaa!! mmoja alisomba nguo zoote za mwanaume kwa hasira akapelekea watoto yatima, kuna watu wamepinda, waliachana mwanaume akamwambia achukue aonacho kinamfaa ndani, alianua hadi carpet akaenda kugawa.

I know right!

Nimependa alivyo mstaarabu, akambebesha mpaka bia zake.
Wengine wana hasira mbaya anamwacha mwanaume mweupe!
Kuna mtu alibeba mpaka nyanya na vitunguu.
 
alikuwa anasubiri kwenda kuangukiwa na kuombwa msamaha, akashangaa kadi ya mwaliko ndio inamfuata.

Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaomboleza
 
I know right!

Nimependa alivyo mstaarabu, akambebesha mpaka bia zake.
Wengine wana hasira mbaya anamwacha mwanaume mweupe!
Kuna mtu alibeba mpaka nyanya na vitunguu.
Mmh kuna watu ni mataahira khaa. Eti kabeba hadi Nyanya hataree
 
  • Thanks
Reactions: kui
alikuwa anasubiri kwenda kuangukiwa na kuombwa msamaha, akashangaa kadi ya mwaliko ndio inamfuata.

Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaomboleza

...safi sana, my girls right there.

Hii inaitwa MOVING ON!
 
Hahaha kui maswali gani haya watoto hata hawajalala. Wengi wanapenda namba 8 as inakuwa tu rahisi "kuingia". Sometimes ni nzuri pia kama utampa task ya kuchojoa yeye mwenyewe. Ingawa ndugu zetu walivyo na pressure usishangae kuchaniwa/ kukatiwa pant yako kisa haraka zao. Yani anaona kama unamtilia kiwingu teh, anachelewa mweee
Khaaaaaa umenifanya niandike kitu wakati nilipanga kusoma tu, nimecheka hatariii
 
kuna mmoja alimuachaga rafiki yangu kwa nyodoo, after5 months bibie akawa anaolewa, uwii jamaa sijui aliibukia wapi eti anamtuhumu eti lazima alikuwa anachepuka, tukabaki tunacheka tu maana alitapatapa hatari.
Wanataka wakikuacha upate taabu usipate hata wa kukusalimia.

kule alikoenda kwa nyodo nako aliachwa binti akarudiana na mtu wake wa zamani wakatangaza ndoa, emagine hiyo scenario.

Karma is a big @ss bi.tch
Yalimkuta mbona..
 
Yani niliwish kama angefunguka zaidi, maan statement yake imenipa tafsiri nyingi kichwani. Like maybe everytime people "lose you" kwa sababu una kitu kinachowa-push away ......

...good thinking, was about to start dropping lines on him.
 
Back
Top Bottom