Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha hapana chezea mabinti wa mwendokasi. Yani kumpiga chura mateke ndo kumuongezea mwendo. Ila shost alitisha ndani ya miezi 5 na ndoa juu teh, mwenzie Alijua bado shost atakuwa anaombolezakuna mmoja alimuachaga rafiki yangu kwa nyodoo, after5 months bibie akawa anaolewa, uwii jamaa sijui aliibukia wapi eti anamtuhumu eti lazima alikuwa anachepuka, tukabaki tunacheka tu maana alitapatapa hatari.
Wanataka wakikuacha upate taabu usipate hata wa kukusalimia.