RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Madhara yapo ila si ya kudumu.....dawa yake ninayo maana natafuta kazi ya udereva....nina leseni ya kuendesha magari yote makubwa kwa madogo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewee!
haijampata dereva ndo mana iko hivi!
Kuna madhara ya kuisimamisha miaka na miaka bila kuendrshwa?