Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

heaven ashavurugwa na za shaaaa za Benny unadhani hata atakuelewa!! ila kulala without kabisa hapana aisee!
Hehe..afu eti bado anamng'ang'ania, hatujutia kunipa nafasi, kwangu kila siku itakuwa campaign tu maana najua nikizubaa tu ataenda kukumbushia kwa Benny.
 
Kaka nakuuliza mara ya mwisho ulishawahi kufa?[emoji1]
Hehe..kifo mfano wa kifo cha nzi kufia kidondani hakitishi, ni cha kishujaa, sijawahi kufa sababu sikuwahi kupenda ila unapopenda inabidi uwe tayari kwa lolote just for her happiness hata kama ni kwa kumuacha kama navyokushauri sasa hapa.
 
kwakweli sijui umempa nn, kichwani anaiwaza namba8 tu na kukumbatiwa, mbebe tu mkakumbatiane vizuri huko.

Huyu labda aongee na kui
zimepita valentine day tatu
najaribu kukushawishi tu
mpaka kufika leo si kazi rahisi
 
we bandika tu hadi chooni ila uje umchukue huyu 'mkeo'
Hahaha...Bwana kajibu maombi Heaven hakuna kujificha tena wewe ni mke sasa

I got the eye of the tiger, a fighter dancing through the fire
cause I am a champion and you're gonna hear me roar

Louder, louder than a lion
cause I am a champion and you're gonna hear me roar
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
 
Back
Top Bottom