Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Number 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka nakuuliza mara ya mwisho ulishawahi kufa?[emoji1]Hahaha...ameshachoka ya kudumbukiziwa tu siku zimekuwa nyingi, wakati we unawekapo tu mkono unasinzia wengine tunalilia nafasi japo tu ya kuongea nae na kushake hands...basi mwambie aje please atoto.
Honey Faith...Number 8
Number 8
Hii coment nitaibold nakuiprint nitaifanyia photocopy binding/lamination na kuibandika chumbani na sitting room
Hehe..kifo mfano wa kifo cha nzi kufia kidondani hakitishi, ni cha kishujaa, sijawahi kufa sababu sikuwahi kupenda ila unapopenda inabidi uwe tayari kwa lolote just for her happiness hata kama ni kwa kumuacha kama navyokushauri sasa hapa.Kaka nakuuliza mara ya mwisho ulishawahi kufa?[emoji1]
Huyu labda aongee na kui
zimepita valentine day tatu
najaribu kukushawishi tu
mpaka kufika leo si kazi rahisi
Hivi wanandoa wanaweza kulala bila kutumia mtindo huo wa na. 8?
Subiri kidogo amalizie..Heaveeeeeeeeeeeeeeen
Hivi wanandoa wanaweza kulala bila kutumia mtindo huo wa na. 8?
ndio
Hahaha...Bwana kajibu maombi Heaven hakuna kujificha tena wewe ni mke sasawe bandika tu hadi chooni ila uje umchukue huyu 'mkeo'
Hehehe mimi ni yule yule.. jana, leo na hata keshoHahah...mzaa chema
unajua vile nakuheshimu naondoka sasa
Heaven wangu hajabadilika
utamuelewa taratibu tuu byee!
YeeeeeeeeesHeaveeeeeeeeeeeeeeen
Ila kui unamaneno fulani hivi yanayogusa kunako, inaonesha uko na potentials kwenye tasnia, ngoja nione kwanza upepo kabla ya kutoa tamko zito maana kifo si mchezo.