Kamati ya siku 5 kweli hiyo harusi itakuwa sio mchezo!!!!!!
Lady doctor jana tumeshinda woote hata kuniambia hii habari
ladyfurahia na kuitaji kwenye kamati ya maombi maana wachawi ni wengi kwenye shughuli kama hizi
Queen Kan, shansarie na Heaven on earth kamati ya mapambo inawahusu
hahaaa count me in,mambo kama haya ndio nayapendaga......
maombi muhim hakika ladyfurahia hatokuangusha ktk hili.......
ni ghafla my Heaven on earth na hii ni baada ya pacha wangu Passion Lady na Evelyn Salt kuniambia kuwa nimewachosha na waume zao, mchumba kajitokeza ndio huyooooo......
Ila best unaujuzi wa upambaji?
hahaaa count me in,mambo kama haya ndio nayapendaga......
maombi muhim hakika ladyfurahia hatokuangusha ktk hili.......
King Mswati hivi huyu atakuwa mke wa ngapi vile???
Kwani una faili lake mimisa?
Tufanye juu chini hii harusi iwe ya mfano wa kuigwa. mia
ujumbe wake kwa wazaz wa Lady doctor sidhani kama anawatania