Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

King mswati hebu tupe taarifa huyu ni mke wa ngapi kwako mkuu Arushaone
Hata hivyo pamoja sana kamati imekmilika
 
Last edited by a moderator:
Baba V naomba unifikirie kwenye kamati zako.
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor kuna mengi utasikia ila unapaswa kuwa na roho ngumu sana. Mimi nawe mpaka kieleweke. Wengine woote tupa kuleee.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nicheke au nilie zote ni kelele
ngoja nicheke kwanza[
ha ha ha haaaaaa
kelewuiiiiiiiii,
mwoaji ni nani Arushaone kibo kya ndesi
mmmmh sema tu unataka kuongeza urefu wa mashino, ha ha haaaaQ
UOTE=Arushaone;6673617]Nimechoka kuwa singo. Passion Lady, Paloma Mwali, Madame B, Chocs marejesho na Mamndenyi andaeni kamati ya send-off.

watu8 na measkron namtuma mshenga wangu Kaizer awaleteeni mahari.

Asprin, Mr Rocky na Baba V andaeni kamati ya harusi
[/QUOTE]

hahahaaa naaa baaa doooo utaongea sana mwaka huu, na bora ujichekee uongeze siku za kuishi maana umeshaachwa na wanaume kibao

mimi na Arushaone hadi kielewekeeeee!!!!!!!!!!!!!

Dena Amsi where a u.......? Nataka uwe matron wangu
 
Last edited by a moderator:
kwani ulikuwa singo boss?
mimi kamati ya vinywaji nitawaletea kiwingu tu, mnipe kamati ya burudani, si unajua wangoni kwa burudani? yaani hiyo siku hakutakuwa na kulala.
Onyo: kamati ya vinywaji msiandae vinywaji vingi, kama mimi nitapewa kamati ya burudani basi watu wala hawatakunywa hivyo vinywaji vyenu, itakuwa full kujirusha.
Hongera teja kwa kuamua kuachana na chama cha masingo
 
usiwe na haraka shosti
kama kuachwa loooooh, najua ninaongoza
ila nyota yangu bado inang'aa hadi kupitiliza
hata nikikatiza kwa huyo mtalaka wangu Arushaone tu roho yake ni paaaaaa kama uongo muulize

mengine uliza siyo tu wenda mbio mbio kisa ndoa,
ha ha haaaa



hahahaaa naaa baaa doooo utaongea sana mwaka huu, na bora ujichekee uongeze siku za kuishi maana umeshaachwa na wanaume kibao

mimi na Arushaone hadi kielewekeeeee!!!!!!!!!!!!!

Dena Amsi where a u.......? Nataka uwe matron wangu[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom