Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

ha ha haaaa Kongosho niivunje mara ya ngapi
tulia tu kwenye kamati yako ya uchonganishi.

Mi sitaki kamati nitakuwa bize na mumeo, kudadadeeeeeki.
Kamati ya uchinganishi

Nataka umuwowe Mamndenyi, vinginevyo atanivunjia ndoa yangu
 
Last edited by a moderator:
Arushaone inabidi uandike talaka yangu kwanza
vinginevyo
....mwenye pingamizi la haki kuwa ndoa hii ya Arushaone na Lady doctor isifungwe, kama yupo na aseme sasa................. hapo hapo utaona sura yangu mbele ya madhabahu.

Nimechoka kuwa singo. Passion Lady, Paloma Mwali, Madame B, Chocs marejesho na Mamndenyi andaeni kamati ya send-off.

watu8 na measkron namtuma mshenga wangu Kaizer awaleteeni mahari.

Asprin, Mr Rocky na Baba V andaeni kamati ya harusi
 
Last edited by a moderator:
chukua dili la ushenga ukiwa na tahadhari..ili likibuma usije aibika bure..kumbe jamaa haaminiki san ee
hahahaa huyu m-baba amefuzu kwenye maneno ya sukari no wonder Lady doctor kaingia laini, sasa wewe subiri uone....sasa unanishaurije nichukue deal hilo la kuwa mshenga?
 
usiwe na haraka shosti
kama kuachwa loooooh, najua ninaongoza
ila nyota yangu bado inang'aa hadi kupitiliza
hata nikikatiza kwa huyo mtalaka wangu Arushaone tu roho yake ni paaaaaa kama uongo muulize

mengine uliza siyo tu wenda mbio mbio kisa ndoa,
ha ha haaaa



hahahaaa naaa baaa doooo utaongea sana mwaka huu, na bora ujichekee uongeze siku za kuishi maana umeshaachwa na wanaume kibao

mimi na Arushaone hadi kielewekeeeee!!!!!!!!!!!!!

Dena Amsi where a u.......? Nataka uwe matron wangu
[/QUOTE]

Arushaone hebu sema ukweli kutoka rohoni la sivyo.........!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
andika maumivu
tena maumivu yenyewe ni malaria iliyopanda kichwani
nimekwambia uliza kwanza shosti
haya atakuwa kungwi kweli kweli
chezea mademe weye.
halafu kwa taarifa yenu Madame B ndio kungwi langu kwenye kitchen party yangu, mlie tu na umbea wenu
 
ha ha haaaaa
ulijua ni kilaini laini tu,
mmmmh, Arushaone sema maneno yako yaliyonyooka hapa
yakipinda kidogo tu harusi imeliwa.

Arushaone hebu sema ukweli kutoka rohoni la sivyo.........!!!!!!!!!![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
andika maumivu
tena maumivu yenyewe ni malaria iliyopanda kichwani
nimekwambia uliza kwanza shosti
haya atakuwa kungwi kweli kweli
chezea mademe weye.

mnanichosha ujue, malaria ikipanda kichwani najua md4doctor2000 atanitibu so sina shaka na hilo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom