Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

Balozi wa uzazi wa mpango? Mbona kichekesho. Yeye amezaa kwa mpango hadi awe mfano kwa wengine? Hii kali
 
Ngoja waamke watatueleza vizuri kuhusu ili jambo mimi naogopa kuitwa mnyanyasaji
 
McDonaldJr

So how do u mean by that? Ebu stop treating her like that, knowing about family planning na kutokupata mtoto vinahusiana nn? Au inaziia nini mtu kutokuweza kutoa elimu kuhusu uzazi wa mpango? Kwanza ninachojua mimi mpango wa uzazi unafanyika kabla ya mke na mume kupata watoto, ni mkakati unaofanyika na wapenzi kabla ya kupata watoto ili kuhakikisha watoto wanazaliwa kwa mpangilio maalumu na kulingana na financial position ya wazazi watarajiwa na afya ya mzazi.

Au nianze kutiririka kuhusu family planning ndio uelewe? Mimi nilisoma hiyo course ya family planning miezi miwili pale AMREF, n i know how to apply them ingawa sina watoto bado, ni maandalizi ambayo wapenzi/wanandoa wanajiandaa jinsi ya kupata watoto, kwa mda gani kulingana uwezo wa familia/wazazi, pia kuzingatia afya ya mzazi. Sasa unachoguna jide kuwa ambassador wa family planning ni nini? Aliyekwambia ukizaa ndio unakuwa family planner mzuri ni nan kama sio UPUNGUFU WA ELIMU kichwani.

Lazima uwe na skills kuhusu elimu ya uzazi wa mpango/afya kabla ya ku kupata watoto, hiyo elimu ni kwa ajili ya wewe na mimi ambao tunatarajia au tuna watoto tayar na jinsi ya ku space child bearing kwa wakat unaofaa.
 
Last edited by a moderator:
Akaze afuate nyayo za kina Chaka chaka,ataenda kimataifa. Hongera Jide
 
uzazi wa mpango wakati hana kizazi mbona mnadhalilisha wanawake wenye vizazi
 
I hate to say this, and in fact not an insult, lakini mbona naona hana sifa?? Jide pamoja na kuwa na umri mkubwa, bado hana mtoto! Katika uzazi wa mpango, kuna njia hii ama ile kwa ajili ya birth control/management. Sasa kwa mwanamke ambae amwshawahi kuzaa, I guess anaweza kuwa best fit coz' huenda ameshawahi kutumia njia hii ama ile na ana experience nazo to the point anaweza kuongea from her experience. What about Jide? Au sifahamu ni nini hasa kinafanywa na hawa mabalozi?
 
warumi
Warumi naona hili jambo umelichukulia too personal. Kwenye family planning ni zaidi ya hayo uliyotaja... kwenye uzazi wa mpango kuna njia mbalimbali, miongoni mwake, zingine huwa zina-fail kwa baadhi ya wanawake ama kusababisha side effects kwa baadhi ya wanawake. Kama ni mfuatiliaji, hata Flora Mbasha hivi sasa huwa anashututumiwa kwavile tu alihusika kwenye tangazo fulani ambalo kwa baadhi ya wanawake, yale aliyokuwa anahamasisha, wengine yanawaletea matatizo(side effects). Hivi ulijaribu kufikiria ni namna gani mtu kama Jide anaweza kukumbana na unyanyapaa wa kutisha itakapotokea hali kama hiyo?? Ashakum si matusi, wapo watakaofikia hata kusema "mtu mwenyewe tasa anafahamu nini kuhusu kuzaa matokeo yake anatusababishia matatizo!"
 
Last edited by a moderator:
NasDaz

Ahah!! Aah Jide angekuwa anasikiliza maneno ya watu bas asingefika apo alipo, halafu ndugu yangu inaelekea uko responsible sana na nini watu wanasema, yani mtu ushindwe kufanya mambo ya maendeleo kisa watu watakuita majina mabaya? Jide kaanza kuitwa tasa leo? Ni maneno gani mapya ambayo akiambiwa leo hajayasikia jana?

Muacheni Jide afanye yake bwana, mtu akifanya vizur mnaongea, akiboronga mnaongea, this is too much bhana, jide yupo juu mwachen ale bata ka fight.
 
Last edited by a moderator:
NasDaz Jide ni level nyingine aiseeh!! Mnavyoendelea kusema, ndivyo anavyosonga mbele, mi namkubal kwa kuwa anajielewa sana na mpiganaji mzur wa maisha
 
Last edited by a moderator:
uzazi wa mpango wakati hana kizazi mbona mnadhalilisha wanawake wenye vizazi

Acha maneno makali nyie ndio mnaomba dua asipate mtoto na siku Mungu atawaumbua na atapata watu wanakaa miaka 10 na zaidi wanakuja kupata watoto
 
NasDaz

Unaona wewe hana sifa, mwenzio jana ndo kashachaguliwa na hospital ya marie stopes kuwa balozi wa CHAGUA MAISHA, sasa kama ukibisha au kukataa ni wewe na matatizo yako bwaaaahahahaahahahahahaahaha na picha ndo hiyo, daaaah jide ni nyokoooooo!!! Moto wa kuotea mbali
 

Attachments

  • 1409644897963.jpg
    1409644897963.jpg
    71.4 KB · Views: 311
Last edited by a moderator:
NasDaz unataka kuniambia wote wanaofanya kaz bank bas lazima wawe mamilionea? U cant be serious, u think like a 6 years child
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom