Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Msanii lady Jaydee amechaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango Tanzania.
Chanzo:taarifa ya habari
Chanzo:taarifa ya habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni balozi wa Oriflame pia.
Ngoja waamke watatueleza vizuri kuhusu ili jambo mimi naogopa kuitwa mnyanyasaji
Kuwa na fikra chanya ,..kwani waliompa hawawezi kuuliza swali lako la kipuuzi kama hilo...!Balozi wa uzazi wa mpango? Mbona kichekesho. Yeye amezaa kwa mpango hadi awe mfano kwa wengine? Hii kali
uzazi wa mpango wakati hana kizazi mbona mnadhalilisha wanawake wenye vizazi
uzazi wa mpango wakati hana kizazi mbona mnadhalilisha wanawake wenye vizazi