Huyo Jide hata huo uzazi mmoja anao....sishangai inasemekana (mimi sijui kama ni kweli) Marie stoppes ndiyo mabingwa wa kuchoropoa mimba na kukata tubes za vizazi duniani.
aisee hakuomba ugumba shukuru Mungu km we una watoto
Mi ni mzazi lakini sicheki au kumkashfu mgumba maana huwezi jua ndani ya dkk moja MUNU anaweza chukua viumbe vyetu vyote na asitupe tena watoto
NDo vile binamu, jide ni next level, anakubalika na watu na anaheshimika na ndio maana kapewa ubalozi , balozi wa oriflame,fistula, na hii compaign ya Afya ya uzazi, duuh
Sasa unataka ukweli uwe uwongo. Nampenda Jide hilo sikatai ila ni kweli hajabahatika kupata mtoto mpaka umri alionao leo. Labda amechaguliwa kwa nguvu ya ushawishi wake kwa jamii, ila angechaguliwa aliyepanga uzazi ingekua mfano mzuri zaidi
Mantiki ya mfano imekosekana wapi,ebu eleza nikuelewe. Jide ni mwana mama na sioni alichopungukiwa kufikisha message inayokusudiwa...Izo hisia ni dalili ya mtimanyongo.
warumi
Tatizo lako wewe unadhani kila mtu ana chuki na Jide... mbaya zaidi, kila anayekosoa jambo kuhusu Jide unadhani anamchukia Jide... acha mawazo ya kishamba bhana!!!
matumbo
Hilo hakuna asiyelifahamu na ndio maana nikatoa mfano wa njia zinazotumika kwenye family planning! Ni kawaida sana akina mama wakielezea uzoefu wao kupitia njia mbali mbali... huyu atakuambia akitumia XYZ anapata side effect hii na ile... mwingine atakuambia njia fulani kwake ndo ina-work better na hapata any side effect... na kuna wengine utawsikia aliwahi kutumia njia fulani lakini bado akashika ujauzito!!!
Sasa basi, haielekei kwamba suala la Jide hadi sasa kutokuwa na mtoto ni suala la uamuzi wake mwenyewe... inawezekana ilikuwa ni uamuzi wake enzi hizo lakini katika mazingira ya kawaida, kwa sasa nashawihsika hata yeye anatamani awe na wa kwake lakini Mungu hajamjaalia!!! Sasa basi, katika mazingira kama hayo, sidhani kama atakuwa ni mwenye kutumia family planning techniques na kama alifanya hivyo, basi labda miaka kadhaa iliyopita! Suala la uanamke kwani hata mwanaume anaweza kutoa hiyo elimu lakini linapokuja suala la kujifunza through the experience ndipo linapokuja tatizo!
Duh.....!kwenye mchango wangu nimegusia kuhusu uyo dada kua hajazaa?binafsi sina urafiki na Marie Stops maana najua wanayoyafanya kuna maisha ya vitoto ambavyo vilitakiwa vizaliwe vingi yamekatishwa kwa makusudi na hawa jamaa kwa kivuli cha uzazi wa mpango ambao uyu Jide sasa kawa balozi na akiamini anautumikia jamii yake,ayo mawazo yako ya kua hajazaa ni fikra zako tu mimi sina tatizo na uzazi wa Jide maana akizaa sawa ila Mungu akimnyima fursa ya kua mama bado sawa ila tatizo langu ni hao anaofanya nao kazi angekua balozi wa malaria,fistula,ukimwi ingekua poa au huko kuwalinda mabinti basi angewashauri wasubiri wakati ukifika lakini sio balaa la iyo midude ambayo naamini haujui athari zake hapo kesho jaribu kuwauliza yaliowakuta utaelewa.