Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi wa uzazi wa mpango? Mbona kichekesho. Yeye amezaa kwa mpango hadi awe mfano kwa wengine? Hii kali
Hauna hoja....kumfundisha kipofu kutumia fimbo ya kutembelea sio lazima nawe uwe kipofu ndio hakuelewe.
We vipi jwani sina haki ya ku disagree??? Acha ushabiki maandazi mchawi mwenyewe. Mfyuuu!!
Jide ana haki ya kufanya chochote ambacho mwanamke mwingine anafanya kutokuzaa hakupunguzi/kuondoa uanamke wake, Jide ni mama kama wamama wengine.
We vipi jwani sina haki ya ku disagree??? Acha ushabiki maandazi mchawi mwenyewe. Mfyuuu!!
Toa mifano yenye mantiki ndugu... si kila mfananisho una sifa ya kuitwa mfano!Hauna hoja....kumfundisha kipofu kutumia fimbo ya kutembelea sio lazima nawe uwe kipofu ndio hakuelewe.
Warumi bhana... nibishe au nikatae kwa lipi?? Mie Jide sie mshindani wangu kwa tafsiri yoyote ile but am just curious.
Kweli wewe ni mfamaji, endelea kutapa tapa binamu
Ahahahah ahahh nikutue , sasa apa binamu ndimu inakuhusu maana una chuki ata pasipostahili kuchukukiwa
Toa mifano yenye mantiki ndugu... si kila mfananisho una sifa ya kuitwa mfano!