Sitaki kuongeza mane no maana
Riwa kaonge kila kitu hapa!
Nimeona ni copy na kupaste tuu!
Lionel Messi ni balozi wa UNICEF kupinga 'utapiamlo (malnutrition)' kwa watoto - Kwani yeye alishawahi kuwa na utapiamlo!?; Oliver Mtukudzi, Ambwene Yesaya ni balozi wa UNICEF wa ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili - Kwani yeye alifanyiwa ukatili utotoni!?; David Luiz ni balozi wa UNAIDS dhidi ya HIV/AIDS - Kwani yeye ana 'Ngoma'!? Serena Williams ni balozi wa UNICEF kupromoti afya ya uzazi na kupinga kansa ya matiti - Kwani yeye ameshazaa!? etc...Kuddos Jide, endelea kufanya mazuri hasiyeona amevaa miwani ya mbao tu kwa kuwa hataki kuona!