Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

Lady Jay Dee achaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango

Sitaki kuongeza mane no maana Riwa kaonge kila kitu hapa!
Nimeona ni copy na kupaste tuu!


Lionel Messi ni balozi wa UNICEF kupinga 'utapiamlo (malnutrition)' kwa watoto - Kwani yeye alishawahi kuwa na utapiamlo!?; Oliver Mtukudzi, Ambwene Yesaya ni balozi wa UNICEF wa ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili - Kwani yeye alifanyiwa ukatili utotoni!?; David Luiz ni balozi wa UNAIDS dhidi ya HIV/AIDS - Kwani yeye ana 'Ngoma'!? Serena Williams ni balozi wa UNICEF kupromoti afya ya uzazi na kupinga kansa ya matiti - Kwani yeye ameshazaa!? etc...Kuddos Jide, endelea kufanya mazuri hasiyeona amevaa miwani ya mbao tu kwa kuwa hataki kuona!
 
Last edited by a moderator:
Mi nilidhani mpululu ni tusi kumbe jinaa yaan warumi bana nilidhani umeleta msamiati mpyaaa
Hivi binamu we ni dokta ee
 
Last edited by a moderator:
Mi nilidhani mpululu ni tusi kumbe jinaa yaan warumi bana nilidhani umeleta msamiati mpyaaa
Hivi binamu we ni dokta ee

Dokta wa nn tena binamu? Kwa nini unasema hivyo??
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa

Ahahaha kitu kinaitwa coment repost, yani jamaa kaongea exactly kile ambacho nilitamani kuongea but nikashindwa kwa kuwa sikuwa na mifano hai, jamaa katisha, makofi tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Naona unatiririka tu duuu fani zote waziwezaaa we kibokoo,safari hii jitahidi ban uiepuke

Mimi umbea wangu wa ki digital, mbea aliyeenda shule, hahaah ahaha aka MBEA WA KISHUA, ningependa kuitwa hivyo kwa sasa
 
Hivi ile mimba ya jide iliyotambaga sana magazetini iliishia wapi?
 
Binamu nna umbeaaa, nasikia jide kaiuza nyumbani lounge
 
Riwa warumiNisome nini pale?? By the way, hivi kuna mtu aliyesema Jide haiwezi hiyo kazi?? Hivi wewe umeshawahi kusikia familia inamnyanyapaa mwanamke eti kwavile kwenye familia ya huyo mwanamke kuna mtoto ana malnutrition??? Lakini ni wanawake wangapi wananyanyapaliwa hadi ndoa zao kuingia majaribuni kwavile tu umepita muda na mwanamke hajazaa na/au kila akishabeba mimba anashindwa ku-deliver?? Tatizo lenu mnaleta mifano ambayo ni irrelevant au ambayo haina social impact kubwa kwa tabia za Kiafrika! Nimeshawapa mfano wa Flora Mbasha jinsi anavyoshambuliwa kwavile tu alihusika kwenye tangazo la family planning na njia ambazo alizitaja kuna wanawake zinawapa matatizo!! Flora Mbasha kila siku utetezi wake ni kwamba yeye hakujua!!! Sasa issue kama hiyo ingekuwa kwa Jide watu maelezo yao yangekuwa tofauti... lazima wapo ambao wangehusisha na hali yake!!!
 
Last edited by a moderator:
NasDaz

Hadithi za kufirika, i see no point, by the way ahsante kwa mawazo yako pia
 
Last edited by a moderator:
Balozi wa uzazi wa mpango? Mbona kichekesho. Yeye amezaa kwa mpango hadi awe mfano kwa wengine? Hii kali



Kwa kweli watu tunajipa mamlaka ya Mungu sasa,hebu umba ht nzi bs ili tujue kama ww uko juu ya Mwenyezi Mungu au mmefanana,Naamini Mungu huwa anatenda kwa wkt wake na kama hajatenda bs lipo jambo jingine allolikusudia kwa mtu wake,tujitahidi kuchunga ndimi zetu bs bila kujua itaathiri vp wa2 wengine.
 
Back
Top Bottom