Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

mmmmh kipi kinaonesha hapo kafunga ndoa?ushilawadu tu
 
Safiiii gooo komando bora wewe mfano mzur sio kina naniliu wanavuliwa pichu na vitoto vidogo vinaishia kuwa dhalilisha mitandaoni
 
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
Nifah huchelewagi🙂
 
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar

Good
 
Uyo mrasta ataweza kupiga mpini kweli? Mbona kama kachoka sana?
 
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
Naomba kujua neno shemela tafadhari
 
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar

Aachane na wanaume wazee ajisakie dogo dogo amhifadhi kazi moja tu kumkuna hawa wanaume waliokomaa hawafai wataishia kula mzigo nakusepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…