Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

Mi nimefurahi maamuzi yake kama ni kweli! Maana maisha lazima yaendelee..no matter what! Mwanaume aliekua nae alimuonea sana..she deserve better jamani..kila la heri kwake!
 
Yaani huyu jamaa ni handsome .. sasa leo nilipomuona IG na hiyo height ya kumuweka gal kifuani... nachanganyikiwa kabisa. Nawependaje ma- tolu
 
Wow! Juzi nikutana nao kwenye mgahawa mmoja na huyo rasta wake.. Nikajua ni mpambe.
Hongera dada.
Keep low profile.
 
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period

Yeah true
 
wasanii wa kike wanapata changamoto kubwa ya ndoa,wengi huchezewa na kumwagwa
 
Yaani huyu jamaa ni handsome .. sasa leo nilipomuona IG na hiyo height ya kumuweka gal kifuani... nachanganyikiwa kabisa. Nawependaje ma- tolu
Uzuri WA matolu hata mizigo chini inakuwa imeshiba, kitu kinagusa hadi kwenye maini
 
Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
Full time united 3 arsenal 1.

Samahani lakini.
 
Mbona shemela anaonekana Mario kama mshikaji aliyepita au macho yangu?
 
Inadaiwa kuwa msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa akina dada, Binti machozi, Komando, Anaconda, Lady Jaydee amefunga ndoa weekend hii.

upitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honeymoon huko Zanzibar.

327fecbe743ceabe3afb0136b3bd157c.jpg

2f1f45b7a0fc6ddd4c97543ee292c4b3.jpg
Ok
 
Back
Top Bottom