unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Aliyekwambia kuwa sababu ya kutokushika ujauzito ni kutoa mimba tu alikuingiza choo cha kike, kuna sababu nyingi sana sio hyo moja unayong'ang'ania ww, na wanaume wasiokuwa nauwezo wa kuzalisha nao walitoa mimba? Kupata mtoto ni majaliwa yake Mungu na si kwa uwezo wa mwanadamu msipende kuwanyooshea wenzenu vidoleanayewaambia mtoe mimba nani hayo ndo matokeo yake