Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!

Hajaukana ukurya bali amesema yeye ni kabila gani na kwa kuonyesha kuwa hata angekuwa mkurya angejivunia tu kwani ndiyo kabila lake. Nadhani hii haina ubishi na amekuwa very positive for those who would like to read carefully between the lines!!!
 
haaa!!! huyo mkurya bana wambura chimbuko lake wapi???????????
 
Nilipita Tarime mjini siku za nyuma mara moja na niikaa kwa nusu saa tu, lakini kwa muda huo mfupi nilishuhudia pair 2 tofauti za watu wakitwangana ngumi hadharani huku watu wakishangilia. Labda ni coincidence, lakini mmh ..
 
Makundi hayo kama nilivyoyaainisha wanaongea lugha moja bila ya kuhitaji mkalimani. Wanatofautiana matamshi tu. Mila na desturi ni zilezile isipokuwa matambiko tu!

........Kama wote wanaongea lugha moja na mila na desturi ni zile zile basi wote ni wakurya na hizo nyingine kweli ni koo tu.
Vipi kuhusu na ile mila yao ya kutahiri wanawake wote hao wanaifanya?
 
I am proud to be a kurya, so what?

Well proud to be from Mara and nobody can make me feel less. What I have in me makes me what I am...A phenomenal person and words would not change that. I stand to be counted for what I have become not a statistic of a tribe.

Jaydee don't sweat the small stuff!
 
<font face="Arial">Mengi ya yanayojiita makabila kule Mara ni KOO tu. Wazanaki,
Kaka kadiri ninavyoelewa miye BAZAZI hao ni kabila linalojitegemea na lina asili moja ya watutsi (yaani WAHIMA). Jina hilo la ZANAKI walipewa na wajita likiwa na maana ya wamekuja na nini (waza-naki?). Kumbuka hawa ni wafugaji na hivyo kuheshimu sana mifugo ilhali wajita ni wakulima wakithamini zaidi mazao ya shambani. Unakumbuka Rev. Mtikila aliwahi kusema Mwl Nyerere ni mtutsi, asili ya dai hilo ni hiyo scenario hapo juu. Chambua uamue
 
Hasira ni moja ya sifa za watu wa Mara ,so our Ms Wambura ni moja ya hulka yake nadhani ni sio sahihi kuchukia anapo ji eskresi kwa hasira!
 
That is what they say! right?
 
Hasira ni moja ya sifa za watu wa Mara ,so our Ms Wambura ni moja ya hulka yake nadhani ni sio sahihi kuchukia anapo ji eskresi kwa hasira!
Nina hakika wewe haujawahi kukasirika, kwa sababu wewe hutoki Mara.
 
Nina hakika wewe haujawahi kukasirika, kwa sababu wewe hutoki Mara.
Hujamuelewa................. Ni kwamba.........

SI KILA MWENYE HASIRA KALI ANATOKA MARA ILA KILA ANAYETOKA MARA ANA HASIRA KALI...........................

Hao wanaoishi nje ya Mara tumewadizolvu hadi wamepoteza hasira zao........... WAKIRUDI KWAO HUWA WANAPATA SHIDA SANA KUJICHANGANYA NA WENZAO ............. maana wanakuwa wamepoteza uwezo wa "KUMANUFAKCHA" hasira
 
Teh teh teh kama nataka kukuamini vile, waza naki kweli ni noma, halafu maelitist kinoma noma. Usiombe kuwa na uhusiano nao utajuta kuwajua.
 
........Kama wote wanaongea lugha moja na mila na desturi ni zile zile basi wote ni wakurya na hizo nyingine kweli ni koo tu.
Vipi kuhusu na ile mila yao ya kutahiri wanawake wote hao wanaifanya?
Tena hiyo mila ya kutahiri wanawake ndio inayowaunganisha hasa hayo "makabila" ya Kikurya. Wajita wanatahiriwa wanaume tu. Wajaluo wao ni "watu wazima". Hawatahiri wanaume wala wanawake!
 
Kaka mbona umetoa mfano wa wasabato kwani hao ni hatari kwa ngono?
 
Nilipita Tarime mjini siku za nyuma mara moja na niikaa kwa nusu saa tu, lakini kwa muda huo mfupi nilishuhudia pair 2 tofauti za watu wakitwangana ngumi hadharani huku watu wakishangilia. Labda ni coincidence, lakini mmh ..
Huko hakufahi kuishi watu wanyonge kama Nyani Ngabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…