Oscar Kimaro
Member
- Dec 30, 2009
- 13
- 0
mwambie sister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini angeachwa aishi maisha yake ingependeza zaidi
lakini angeachwa aishi maisha yake ingependeza zaidi
no, but according to what they did, ....heheeee hawa ni wasomali tuUniite mzanaki, mkurya, mjita, mjaluo, mkwaya, mkerewe I do not change. Jamani hii issue mbona broken record. Hivi kutoka mkoa wa Mara ni laana?
Let her be....let us move on....
Yaani bro hapa una point...sometime humu JF kuna watu wanapenda kutuchefua roho..wanaleta ishu za kujadili watu tuuuu,tena kwenye anga zao binafsi kabisa...kuna ishu kibao za kujadili kuliko kujadili maisha binafsi ya watu,sijuwi tunaonekanaje onekanaje vile...!! kama mtu huna cha kuposti si soma posti zote hizo zilizokuwamo humu lazima mtu atafutetafute watu hukoooooo,afanye ndo ishu...agh...!!lakini angeachwa aishi maisha yake ingependeza zaidi
no, but according to what they did, ....heheeee hawa ni wasomali tu
JF mngefanya la maana mkiacha kumjadili huyu mpuuzi. Mnampaisha kwa lipi hasa?