Lady Jay Dee akutana na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika

Lady Jay Dee akutana na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2024-04-06-23-43-26-1.png

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .

Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.

Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
 
View attachment 2955961Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .

Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao , lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho , kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio .

Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Kesho stesheni zote nchi nzima zitapangiwa miziki ya kutumbiza, tutaambiwa za huyu mama hazikidhi viwango vya BASATA
 
Hakuna Private ya kupiga picha huku unatabasamu

Aliyewapiga picha ni nani?

Na baada ya picha kupigwa, je imechapishwa kwenye akaunti binafsi ya mmojawapo ya hao wahusika?

Imewekewa maneno gani kama mmojawapo kaichapisha mtandaoni?

Je, si kwamba John Mnyika alifika tu eneo hilo kupata chakula, hivyo mwenye eneo hilo ambaye ni Jide akatumia fursa hiyo kupata picha ya pamoja?
 
Jide ni Mwanaccm mzuri tu

Shida yako wewe dogo Kila anekaa na kiongozi wa Chadema unamtolea mate kama zuzu tena wakiwa Kwenye Mghahawa wake Nyumbani Lounge

Au nikuletee picha Mbowe akiwa na Rais anakenua kama utonge

NB JIDE UMJUI DOGO
Hahahahaha hivi Jide si ni ndugu na Wassira ? Na ni rafiki mkubwa wa Makalla
 
View attachment 2955961Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .

Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.

Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Hakuna lolote zaidi ya biashara ya kula afsa habari nawe umekua mdaku!
 
Back
Top Bottom