Lady Jay Dee akutana na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika

Lady Jay Dee akutana na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika

Hakuna kikao hapo ni mgahawani mnyika alienda kula. Na jaydee kama mmiliki akamshukuru kwa kumuunga mkono kwenye biashara yake.
Huo mgahawa upo pande zipi?

Nielekeze nikapate lunch huko leo, nitakukaribisha pia tufanye kama Judith na John walivyopiga picha wakiwa mgahawa.

I'm waiting for directions.
 
Mkuu mie nipo huku simiyu ndani ndani hivyo mgahawa huo nauona mtandaoni tu. Hope wenyeji wa mjini watakuelekeza
Huo mgahawa upo pande zipi?

Nielekeze nikapate lunch huko leo, nitakukaribisha pia tufanye kama Judith na John walivyopiga picha wakiwa mgahawa.

I'm waiting for directions.
 
Inawezekana hujui au umejing'oa ubongo , Jf inapokea habari kutoka chanzo chochote , yenyewe haizalishi habari ; kwahiyo tunapofanya hivi hatukosei
JF kuwa ni "self-generated contents forums" haina maana hakuna chujio la kila kinachowekwa hapa, otherwise kusingekuwa na mods...

Na naafikiri unajitoa ufahamu kuwa JF ni sehemu ya watu wenye fikra makini, sio kila kitu unaweka hapa kwa kuwa tu imesemwa ni mahali ambapo kuna uthubutu wa kusema chochote....

Weka basi picha na habari Mnyika akiwa anaoga, anakula, amelala, yupo bar n.k

Mahaba yenu kwa vyama vyenu vya siasa CCM na CDm vimewafanya wengi wenu kuwa mind controlled vessels...
 
View attachment 2955961

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .

Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.

Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Hii nayo ni news?
 
Uzuri wa humu JF hatuandiki habari ili tukufurahishe wewe na ukoo wako , tunaandika habari ili kuwapa watu taarifa , baasi , as long as hatuvunji utaratibu wa jf , hatujadhalilisha yeyote na ndio maana moderator hajafuta uzi

Kingine ni hiki , wewe huna mamlaka ya kupanga cha kuandika jf , hujawahi kuwa na mamlaka hayo na hutokuja kuwa nayo hadi unazikwa
 
Ila nyie Chadema bhana hamjawahi kuwa na akili timamu Hata kidogo.

Wamekutana sehemu ya biashara ya Jide sasa unategemea wasipige picha wakati huyo ni katibu wa Chadema.?

Yani mtu akionekana kuunga mkono Chadema ety ndo wanachadema wanasema anajitambua 😂 huyo Jide anajitambua hata akiwa chama kingine.
 
Siku JD akichukua fomu ya Bunda Mjini CHADEMA Kuna watu watakufa. Maana picha tu watu wanapiga mayowe.
wanadhani tunaleta habari humu kibwege , eti ilikuwa msosi , JD ni Mhudumu ? Halafu hawa viongozi wa Chadema hawali kila mahali , hawa wangekuwa wanakula popote wangeishauawa kitambo mno !
 
View attachment 2955961

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .

Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.

Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Ameshafulia kwenye muziki na Kila kitu ndio mnamwokota Leo?

Vipi kuhusu wale mnaowaandamanisha Kila siku halafu muda wa uchaguzi ulkifika mnaenda kulokoteza wengine mitaani?

GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO
 
Jide ni Mwanaccm mzuri tu

Shida yako wewe dogo Kila anekaa na kiongozi wa Chadema unamtolea mate kama zuzu tena wakiwa Kwenye Mghahawa wake Nyumbani Lounge

Au nikuletee picha Mbowe akiwa na Rais anakenua kama utonge

NB JIDE UMJUI DOGO
Karibu sana Mkuu Massawe feki , ndio vile tena mwenezi kishatumbuliwa , rudi kwenye ile kazi yako
 
Back
Top Bottom