Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amrudie Gadna G Habash yuko hoi kiafya na mwili.....amrudie watafalarii....maisha amsaidie warudishe nyumba yao wamalizie muda uliobakia naamini wote wako above 50yrsView attachment 2955961Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.
Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Achana naye huyo Joyce, kaona Wivu akiamini Mnyika anaweza muunganishia Jide kwa Makengeza Mbowe.Yaani watu wamekutana mgahawani wakapiga picha wewe unaleta kuwa habari! Au hapo ni ofisi za CHADEMA? Mbona mnakuwa wajinga sana.
Dishi za jf ziko kila mahaliYaani watu wamekutana mgahawani wakapiga picha wewe unaleta kuwa habari! Au hapo ni ofisi za CHADEMA? Mbona mnakuwa wajinga sana.
Unatumia jina zuri sana lakini unaandka ujinga wa kipumbavu mno !Achana naye huyo Joyce, kaona Wivu akiamini Mnyika anaweza muunganishia Jide kwa Makengeza Mbowe.
Inawezekana hujui au umejing'oa ubongo , Jf inapokea habari kutoka chanzo chochote , yenyewe haizalishi habari ; kwahiyo tunapofanya hivi hatukoseiKwamba umekurupuka, hii si habari...
Umeokoteza picha kwenye insta page ya Jide, ukaiongezea maneno ya kishigongo ili ionekane kama ni habari...
Mnyika kapita mgahawa wa Jide kupata chakula, period!
View attachment 2955968
Sasa unalia nini ?Tatizo Bavicha mko na uwezo mdogo sana siku hizi.
Akikujibu nitag lazima aweke wazi hii picha ni mali ya naniAliyewapiga picha ni nani?
Na baada ya picha kupigwa, je imechapishwa kwenye akaunti binafsi ya mmojawapo ya hao wahusika?
Imewekewa maneno gani kama mmojawapo kaichapisha mtandaoni?
Je, si kwamba John Mnyika alifika tu eneo hilo kupata chakula, hivyo mwenye eneo hilo ambaye ni Jide akatumia fursa hiyo kupata picha ya pamoja?
Hii habari imewaumiza sana kulikoni? mbona hawa wamekutana hamsemi ? hapa napo kuna chakula gani ?Sema uchawa ni fedheha sana. Usikute mnyika kaenda kuomba Mzigo, wewe ndio reporter.
Vipi ,naibu wazuri wa elimu Drc kashajifungua au bado,tabia ya kula wasaidizi hiyo siopoaAkikujibu nitag lazima aweke wazi hii picha ni mali ya nani
Wewe ni lazima utakuwa mjinga tuAkikujibu nitag lazima aweke wazi hii picha ni mali ya nani
Huyo demu naibu kaingiaje kwa huu uzi?Vipi ,naibu wazuri wa elimu Drc kashajifungua au bado,tabia ya kula wasaidizi hiyo siopoa
Usisahau amjibuye mjinga naye ni mjinga tena jinga kubwa akili kisoda 😎Wewe ni lazima utakuwa mjinga tu