Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ohoooooooo !!!!Jide anafaa, ana mvuto kwa jamii apewe nafasi agombee ubunge mwakani huko Mara
Wacha weeeee !!!Anajitambua
Hakuna Private ya kupiga picha huku unatabasamuIngefaa kama ungekuwa unajua sababu ya kukutana kwao endapo ni suala public au ni ishu za private...
Kesho stesheni zote nchi nzima zitapangiwa miziki ya kutumbiza, tutaambiwa za huyu mama hazikidhi viwango vya BASATAView attachment 2955961Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao , lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho , kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio .
Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Hakuna Private ya kupiga picha huku unatabasamu
Kwamba mimi nimeitoa mbinguni ?Aliyewapiga picha ni nani?
Na baada ya picha kupigwa, je imechapishwa kwenye akaunti binafsi ya mmojawapo ya hao wahusika?
Imewekewa maneno gani kama mmojawapo kaichapisha mtandaoni?
Kwamba mimi nimeitoa mbinguni ?
Hahahahaha hivi Jide si ni ndugu na Wassira ? Na ni rafiki mkubwa wa MakallaJide ni Mwanaccm mzuri tu
Shida yako wewe dogo Kila anekaa na kiongozi wa Chadema unamtolea mate kama zuzu tena wakiwa Kwenye Mghahawa wake Nyumbani Lounge
Au nikuletee picha Mbowe akiwa na Rais anakenua kama utonge
NB JIDE UMJUI DOGO
Hakuna lolote zaidi ya biashara ya kula afsa habari nawe umekua mdaku!View attachment 2955961Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.
Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Sasa ni afsa habari au ni chawa wa Mbowe , mbona hamueleweki jamani ?Hakuna lolote zaidi ya biashara ya kula afsa habari nawe umekua mdaku!
Okay mwenyewe unapenda kujulikana zaidi kwa hilo la chawa wa Mbowe!Sasa ni afsa habari au ni chawa wa Mbowe , mbona hamueleweki jamani ?