Lady Jay Dee akutana na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika

Yaani watu wamekutana mgahawani wakapiga picha wewe unaleta kuwa habari! Au hapo ni ofisi za CHADEMA? Mbona mnakuwa wajinga sana.
 
Amrudie Gadna G Habash yuko hoi kiafya na mwili.....amrudie watafalarii....maisha amsaidie warudishe nyumba yao wamalizie muda uliobakia naamini wote wako above 50yrs
 
Hii picha akiiona tu mrithi wa Milele wa Chama toka kwa Baba Mkwe wake yaani Mzee wa Makengeza Mbowe, Mnyika Ukatibu mkuu umeota mbawa. Jamaa atataka amfanyie Jaydee kama alivyomfanyia Joyce Mukya.
 
Sema uchawa ni fedheha sana. Usikute mnyika kaenda kuomba Mzigo, wewe ndio reporter.
 
Kwamba umekurupuka, hii si habari...

Umeokoteza picha kwenye insta page ya Jide, ukaiongezea maneno ya kishigongo ili ionekane kama ni habari...

Mnyika kapita mgahawa wa Jide kupata chakula, period!

View attachment 2955968
Inawezekana hujui au umejing'oa ubongo , Jf inapokea habari kutoka chanzo chochote , yenyewe haizalishi habari ; kwahiyo tunapofanya hivi hatukosei
 
Akikujibu nitag lazima aweke wazi hii picha ni mali ya nani
 
Toka lini profesa J awe chadema harafu jide awe ccm

Alindwe ila,nitafurahi kama mnyika atakuwa amegusia kidogo jide amsamehe Gadina habashi kipindi hiki kigumu anapitia
 
Vipi ,naibu wazuri wa elimu Drc kashajifungua au bado,tabia ya kula wasaidizi hiyo siopoa
Huyo demu naibu kaingiaje kwa huu uzi?

Zingatia mada bwashee, kama unataka kujua kama naibu alishajifungua anzisha tu uzi kisha nitag nami nitakupa A to Z huko kwa uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…