Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Kwani ni wapi nimewaambia mtunge sentensi ?Hakuna kikao hapo ni mgahawani mnyika alienda kula. Na jaydee kama mmiliki akamshukuru kwa kumuunga mkono kwenye biashara yake.
Kwani ni wapi nimewaambia mtunge sentensi ?
Huo mgahawa upo pande zipi?Hakuna kikao hapo ni mgahawani mnyika alienda kula. Na jaydee kama mmiliki akamshukuru kwa kumuunga mkono kwenye biashara yake.
Shida yako ya macho haituhusuMbona kama wanakanyagana miguu kimahaba
Huo mgahawa upo pande zipi?
Nielekeze nikapate lunch huko leo, nitakukaribisha pia tufanye kama Judith na John walivyopiga picha wakiwa mgahawa.
I'm waiting for directions.
Haya mankaShida yako ya macho haituhusu
Sio leo, kitambo sana anajitambua nakumbuka alishamfata seif sharif hamadi kipindi anaumwa akaenda kumuona, ni ngumu sana kwa tz msanii kwenda kumuona mwanasiasa wa upinzani hata kama ni ndugu yakeAnajitambua
Isijekuwa mahusiano, ana mume huyo jide?Jide anajitambua sana. CHADEMA watakuwa wanamuandaa aje aperform kwenye kampeni yao.
JF kuwa ni "self-generated contents forums" haina maana hakuna chujio la kila kinachowekwa hapa, otherwise kusingekuwa na mods...Inawezekana hujui au umejing'oa ubongo , Jf inapokea habari kutoka chanzo chochote , yenyewe haizalishi habari ; kwahiyo tunapofanya hivi hatukosei
Hii nayo ni news?View attachment 2955961
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.
Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Hizi sio habariHii habari imewaumiza sana kulikoni? mbona hawa wamekutana hamsemi ? hapa napo kuna chakula gani ?
View attachment 2956164
Uzuri wa humu JF hatuandiki habari ili tukufurahishe wewe na ukoo wako , tunaandika habari ili kuwapa watu taarifa , baasi , as long as hatuvunji utaratibu wa jf , hatujadhalilisha yeyote na ndio maana moderator hajafuta uziJF kuwa ni "self-generated contents forums" haina maana hakuna chujio la kila kinachowekwa hapa, otherwise kusingekuwa na mods...
Na naafikiri unajitoa ufahamu kuwa JF ni sehemu ya watu wenye fikra makini, sio kila kitu unaweka hapa kwa kuwa tu imesemwa ni mahali ambapo kuna uthubutu wa kusema chochote....
Weka basi picha na habari Mnyika akiwa anaoga, anakula, amelala, yupo bar n.k
Mahaba yenu kwa vyama vyenu vya siasa CCM na CDm vimewafanya wengi wenu kuwa mind controlled vessels...
wanadhani tunaleta habari humu kibwege , eti ilikuwa msosi , JD ni Mhudumu ? Halafu hawa viongozi wa Chadema hawali kila mahali , hawa wangekuwa wanakula popote wangeishauawa kitambo mno !Siku JD akichukua fomu ya Bunda Mjini CHADEMA Kuna watu watakufa. Maana picha tu watu wanapiga mayowe.
Ni nadra sana kumkuta mtu mwenye akili timamu huko chademaHakuna kikao hapo ni mgahawani mnyika alienda kula. Na jaydee kama mmiliki akamshukuru kwa kumuunga mkono kwenye biashara yake.
Ameshafulia kwenye muziki na Kila kitu ndio mnamwokota Leo?View attachment 2955961
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam .
Bado haijafahamka kilichochozungumzwa na wawili hao, lakini kama kawaida yetu tutajitahidi kuvujisha kila kilichozungumzwa kwenye kikao hicho, kwa kadri zitakavyokuwa Jitihada za Nzi wetu aliyekuwa eneo la Tukio.
Bali kwa Jambo hili hatutarajii Jay Dee kutekwa au kutumiwa TRA
Karibu sana Mkuu Massawe feki , ndio vile tena mwenezi kishatumbuliwa , rudi kwenye ile kazi yakoJide ni Mwanaccm mzuri tu
Shida yako wewe dogo Kila anekaa na kiongozi wa Chadema unamtolea mate kama zuzu tena wakiwa Kwenye Mghahawa wake Nyumbani Lounge
Au nikuletee picha Mbowe akiwa na Rais anakenua kama utonge
NB JIDE UMJUI DOGO
Hakuna Chawa TajiriOkay mwenyewe unapenda kujulikana zaidi kwa hilo la chawa wa Mbowe!