Lady Jay Dee amepata Ujauzito?

thamani yake itaongezeka mara dufu hapa ulimwenguni
 
Hamna kitu hpo tumbo la chipsi yai hilo.
 
Kwa wajuzi wa mambo haya, Jide tayari...mtazame hata sura ilivyo mwagika..yule jamaa KAZI ILIMSHINDA..
 
bora aisee alivyoamua kumuacha Gadner, mwanaume aliyeacha mke huko na mtoto alafu akaja kukuoa ni kama laana. unaweza usizae, au kupata mimba zinazohariba sababu ni machozi ya yule mwanamke aliyeachwa
 
Ila Lady jay dee n legendary wa wanamuziki wengi sana Bongo na wengi wana mkubali sana sema umaskini wao na uoga wao wa kuigopa mawingu station.
One day God will bless her with baby boy/girl
 
Huyu demu angekuwa hana hela sijui angefananaje.khaa yaani ni kibayaaa basi tu..mwanangu papiii kocha enzi hizo anakuka kavuuu vibaya sanaaaa
 
Shibe tu hiyo..........
Wala usitishike
 
Kama mwanaume anafanyiwa surgery na kubeba mimba, ishindikane vipi kwa babyface? Asante Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…