Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo hii inamaanisha CAPTAIIIN!!! ana character za Poz Kwa Poz
Hamna kitu hpo tumbo la chipsi yai hilo.Mungu Mkubwa am great fan of this singer kama hajaweka Matabara she is real expecting Natamani apate mtoto and my little Girl is called Judith kwa sababu Mimi ni fan wake mno!
Wasomi wa Psychology na body Language JD katika post yake Instagram hajaweka wazi ila kuna Kipindi alikua anafanya Mazoezi na Tumbo lake likawa Slim. Lakini Hivi Majuzi ame post picha yake ambaye inaonesha ana tumbo ambalo labda linaweza kuwa ni Mimba ambayo bado Changa.
Ukitazama Maneno ya kwenye Post akamalizia kwa Kusema Maneno haya hayausiani na Picha. Sisi wataalamu wa Lugha za siri Unaweza Kusema Dada alikua anasisitiza Jiangalie Pica tena kawa Umakini.
View attachment 523353 View attachment 523354
Picha yake ya January 16
View attachment 523358
na wema jeYani Judith Wambura na Millen Magese siku wakipata mtoto nitafurahi pamoja nao, Mwenyez Mungu awajaalie hiyo baraka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwa hiyo hii inamaanisha CAPTAIIIN!!! ana character za Poz Kwa Poz
Ndugu yangu usitukane wakunga ilhali uzazi ungalipoHuyu demu angekuwa hana hela sijui angefananaje.khaa yaani ni kibayaaa basi tu..mwanangu papiii kocha enzi hizo anakuka kavuuu vibaya sanaaaa