Lady Jay Dee amka, kiti chako kinataka kuchukuliwa

hivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.
Halafu walivyo ma peyasi wanasema mbona Vanessa kachukua tuzo ?? Kuna jamaa yupo field anaandika essay huyo hata umwambie kitu kidogo anashusha essay na haelewi duu jide ni jide tuu
a0debc8f54901fe3c8b2ba2720d3dd82.jpg
c920baf36989539f8131bf3e1dc4f688.jpg
229d848a28bf63bc02026fa091782b96.jpg

Respect
 
yaan naona kama jide anaezungumziwa hapa ni kama hana hit songs na wala tuzo(kumbukeni hata hiyo tuzo ya afrimma aliipata mwaka jana).....dah inasikitisha kumlinganisha jide na ruby..ni km kifo na usingiz kabisaaa
 
hivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.

Habar ndo hyo, hawatak wakalale
 
Labda kiti cha kukaa uchi ila vanessa bado mtoto kwa lady jidee

...na ndo hapo tatizo lilipo.hizo swaga za akina jlo atiii...Jide kwa kujiheshimu haina swali ila hawa wazungu weusi wa siku hizi wanatupa wakati mgumu wazee sie kuangalia vichupa vyao maana vimejaa ukakasi..yataka moyo.
 
Jay dee mtu mwingine.asee hapana,,,,hafai.kufananishwa na v money.pliiiz, v.money kaanza mziki juzi tu 2013/14 achen ufinyu wa kufikiri
 
Mwenyewe unaona umeleta bonge la thread! Yan umlinganishe Jide na yule muonesha ma.ta.ko??
 
yaan naona kama jide anaezungumziwa hapa ni kama hana hit songs na wala tuzo(kumbukeni hata hiyo tuzo ya afrimma aliipata mwaka jana).....dah inasikitisha kumlinganisha jide na ruby..ni km kifo na usingiz kabisaaa
Mkuu hao sio waelewa kabisa hata uwaeleweshe vipi
 
Mwenyewe unaona umeleta bonge la thread! Yan umlinganishe Jide na yule muonesha ma.ta.ko??
Daa vanessa hamuwezi hata recho kwa sauti kuimba kila kitu halafu wanamshindanisha na jidee duu kisa kachukua kituzo cha afrimma juzi
Jay dee mtu mwingine.asee hapana,,,,hafai.kufananishwa na v money.pliiiz, v.money kaanza mziki juzi tu 2013/14 achen ufinyu wa kufikiri
Ah mku hawaelewi hao yule ni legend should b respected
 
hivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.
Hivi mnatumia vigezo gani kusema HAWEZI kumfikia miaka 800? Hivi kweli unaamini toka ndani kabisa ya moyo wako kwamba Jide alifikia hatua ya juu kabisa mwanamuziki kuwahi kufikia?! Do you?
 
Mzee wa essay unapeleka hii thread faster kinoma yani tatizo nn kwani?
Nishakupuuza wewe coz' we don't match and will never! Mtu unayeshindwa hata kutofatisha kati ya Song of The Year and Best Video... it sucks arguing na mtu wa level yako!
 
Mbona unajipiga mkwara mwenyewe ongea ueleweke tatizo nn kwani hafu mi sijamtaja we umejistukia tu acha uoga kuna jina lako hapo?? Oohg
 
[

Ushaanza taarabu, eti sijamtaja mtu!! Hapa hakuna tatizo bali kuna issue kwamba Jide wakati wake ndo unapotea ni kilichopo hapa ni wafu mnazikana wenyewe kwa wenyewe huku mkijipa matumaini...
 
[Ushaanza taarabu, eti sijamtaja mtu!! Hapa hakuna tatizo bali kuna issue kwamba Jide wakati wake ndo unapotea ni kilichopo hapa ni wafu mnazikana wenyewe kwa wenyewe huku mkijipa matumaini...
Kwahiyo ukipotea wakati wake ndo umfananishe na hao wauza papuchi kina ve money na ruby hiyo ni dharau jide ni jide tu we baki na ujinga wako
 
Wafu wazikana wao kwa wao... :bange::bange::bange::msela::msela::msela::bounce::bounce::bounce::target::target::target::lock1::lock1::lock1::llama::llama::llama::violin::violin::violin: Kifo.jpgKifo.jpg
 
Acha na jide ni namba nyingine kabisa huwezi kumfananisha na v-money
 
Back
Top Bottom