pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Halafu walivyo ma peyasi wanasema mbona Vanessa kachukua tuzo ?? Kuna jamaa yupo field anaandika essay huyo hata umwambie kitu kidogo anashusha essay na haelewi duu jide ni jide tuuhivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.
Respect

