Halafu walivyo ma peyasi wanasema mbona Vanessa kachukua tuzo ?? Kuna jamaa yupo field anaandika essay huyo hata umwambie kitu kidogo anashusha essay na haelewi duu jide ni jide tuuhivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.
hivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.
Labda kiti cha kukaa uchi ila vanessa bado mtoto kwa lady jidee
Mkuu hao sio waelewa kabisa hata uwaeleweshe vipiyaan naona kama jide anaezungumziwa hapa ni kama hana hit songs na wala tuzo(kumbukeni hata hiyo tuzo ya afrimma aliipata mwaka jana).....dah inasikitisha kumlinganisha jide na ruby..ni km kifo na usingiz kabisaaa
Daa vanessa hamuwezi hata recho kwa sauti kuimba kila kitu halafu wanamshindanisha na jidee duu kisa kachukua kituzo cha afrimma juziMwenyewe unaona umeleta bonge la thread! Yan umlinganishe Jide na yule muonesha ma.ta.ko??
Ah mku hawaelewi hao yule ni legend should b respectedJay dee mtu mwingine.asee hapana,,,,hafai.kufananishwa na v money.pliiiz, v.money kaanza mziki juzi tu 2013/14 achen ufinyu wa kufikiri
Hivi mnatumia vigezo gani kusema HAWEZI kumfikia miaka 800? Hivi kweli unaamini toka ndani kabisa ya moyo wako kwamba Jide alifikia hatua ya juu kabisa mwanamuziki kuwahi kufikia?! Do you?hivi watu huwa hamjui maana ya generation? hata lion Rich au Janet Jackson aimbe leo huwezi mcompare na Chris Brown wala Rihanna... Jide ni legend na mziki umemnufaisha parefu sana she is such a strong woman.... Vanessa hawezi mfikia Jide miaka 800
huwezi mcompare banana zoro na diamond very different yani.
Nishakupuuza wewe coz' we don't match and will never! Mtu unayeshindwa hata kutofatisha kati ya Song of The Year and Best Video... it sucks arguing na mtu wa level yako!Mzee wa essay unapeleka hii thread faster kinoma yani tatizo nn kwani?
Mbona unajipiga mkwara mwenyewe ongea ueleweke tatizo nn kwani hafu mi sijamtaja we umejistukia tu acha uoga kuna jina lako hapo?? OohgNishakupuuza wewe coz' we don't match and will never! Mtu unayeshindwa hata kutofatisha kati ya Song of The Year and Best Video... it sucks arguing na mtu wa level yako!
Ushaanza taarabu, eti sijamtaja mtu!! Hapa hakuna tatizo bali kuna issue kwamba Jide wakati wake ndo unapotea ni kilichopo hapa ni wafu mnazikana wenyewe kwa wenyewe huku mkijipa matumaini...Mbona unajipiga mkwara mwenyewe ongea ueleweke tatizo nn kwani hafu mi sijamtaja we umejistukia tu acha uoga kuna jina lako hapo?? Oohg
Kwahiyo ukipotea wakati wake ndo umfananishe na hao wauza papuchi kina ve money na ruby hiyo ni dharau jide ni jide tu we baki na ujinga wako[Ushaanza taarabu, eti sijamtaja mtu!! Hapa hakuna tatizo bali kuna issue kwamba Jide wakati wake ndo unapotea ni kilichopo hapa ni wafu mnazikana wenyewe kwa wenyewe huku mkijipa matumaini...
Wafu wazikana wao kwa wao... :bange::bange::bange::msela::msela::msela::bounce::bounce::bounce::target::target::target::lock1::lock1::lock1::llama::llama::llama::violin::violin::violin:Kwahiyo ukipotea wakati wake ndo umfananishe na hao wauza papuchi kina ve money na ruby hiyo ni dharau jide ni jide tu we baki na ujinga wako
Ndo maana unashusha essay kumbe upo field vp field unamaliza lini??Wafu wazikana wao kwa wao... :bange::bange::bange::msela::msela::msela::bounce::bounce::bounce::target::target::target::lock1::lock1::lock1::llama::llama::llama::violin::violin::violin: View attachment 299379View attachment 299379
:bange::bange::bange::msela::msela::msela::fencing::fencing::fencing::cheer2::cheer2::cheer2::A S-cry::A S-cry::A S-cry::frusty::frusty::frusty: Wafu wazikana wao kwa wao!!!Ndo maana unashusha essay kumbe upo field vp field unamaliza lini??
Ngoja nikuache ushaanza kuchanganyikiwa ila ushauri wangu uache kushusha essay humu sio mahali pake sawa "acha essay"kitu kidogo unashusha essay haha daa we noma:bange::bange::bange::msela::msela::msela::fencing::fencing::fencing::cheer2::cheer2::cheer2::A S-cry::A S-cry::A S-cry::frusty::frusty::frusty: Wafu wazikana wao kwa wao!!!
View attachment 299416View attachment 299416View attachment 299416